Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Limrpanda 32% debt to GDP ratio ndio limepanda wakat nyinyi muko over 80% [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbona unakua mwehu sikuhizi
Jamaa mnakopa kimya kimya[emoji23][emoji23][emoji23]
Awamu ya tano imekopa kinyama
 
Nani ka change gear nimemwambia kenya haina pesa ya kujenga mradi wowote na kama ni ppp ambayo mchina ataishika kwa miaka 30 akiwakamua hapo sawa[emoji28][emoji28]
View attachment 1635203
Ulisema lini hvo na ni wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbu kumbu zipo ujue wakati ilikua unapinga na kuitisha bango[emoji117][emoji1787]

Pole sana kw maumivu jichoboy
 
Kama watanzania ni maskini kla mtu c maskini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeskia 600ksh ni pesa kidogo sanaa kwa mkenya anayemiliki gari
Sisi huku Magari tunamiliki mpaka masikini. Inaelekea kuwa basic need. Ndio maana tunawajali Parking mjini tu jero.. kariakoo mia tatu tu.. kwenu huko ingekuwa KSh. 25Mjini na KSh. 15 kwa Kariakoo ili Masikini Sisi twende tukauze na kununua pia.

Na Toll fee kubwa huku kwetu ni sawa na KSh.90 kwa Kigamboni.. for SUV Family Cars na KSh 70 kwa Vipaso na Vigari vidogo vidogo hata Hiyo Yenye mnapenda sana proboo inakuwa tu hiyo hiyo tu 70.

Ferry like wise haizidi 120 KSh. Most of places.
 
Hawachelewi kuweka neno lao ya kwanza east and central africa [emoji23][emoji23]
Wazee wa first, biggest, moder ukanada huu wanajulikana[emoji1787][emoji1787]

Hta ndege zingeliwatuma mngeliziita the biggest lkn kidogo mlijizuia
 
How long is Kigamboni Bridge?
 
Mbona basi data zinasema tofauti katika umiliki wa magari, manake kenya ndio inaongoza..

Alafu kuhu bei kw nchi maskini inaeleweka
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kigamboni mnalipa toll fee ya nn km nynyi mnagharamikia miradi kw pesa zenu ili wananchi wafaidi
 
bado nashindwaga kuelewa,kwa umaskini uliopo kenya hawa wakunya wa humu jf wanatoleapi nguvu za kubishana na sie?
Mi pia nahangaa kwnn ukiwekeza kenya una uhakika wa kupiga mpunga sana sana katika miradi ya direct kw mwananchi kuliko tanzania
 
Compare the two

Kigamboni Bridge = Approx 1km
Toll fee = KShs 90
Fee per Km = KShs 90

Nairobi Express way = Approx 25km
Toll fee = KShs 600
Fee per Km= KShs 24

Expressway is cheaper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…