Haka nako sijui kamekolezwa dushe maana kanaongea vitu havieleweki. Kwa hiyo hapo Kenya EU wakiwambia halalisheni ushoga au kusagana mtakubali tu kisa nyie ni nchi maskini? Huo ni mfano tu!Huwezi shindana na umoja wa ulaya km wewe nchi yako ni maskini, yani utapigwa ban hadi ushangae..
Mabeberu hao jamaa, walee wazee wa kusema magu kawabana mko wapi..
Tunaomba awajibu km yeye ni bulldozer na hayumbishwi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kwn ushoga si upo tangia kitambo, uuhalalishe upo uufungie upo..Haka nako sijui kamekolezwa dushe maana kanaongea vitu havieleweki. Kwa hiyo hapo Kenya EU wakiwambia halalisheni ushoga au kusagana mtakubali tu kisa nyie ni nchi maskini? Huo ni mfano tu!
Tatizo siyo vitega uchumi bali pesa za bure. Tanzania kwa miaka 17 walikuwa wanajizolea dhahabu bila kulipa kodi na madini mengine mengi yalikuwa yanasombwa kama wanavyotaka.Hao jamaa wana vitega uchumi sehemu nyingi tena za maana hata kuliko tz.
Uliskia mabeberu wanashida na visenti vya dhahabu, tena sio kutoka kw the leading country in the world..Tatizo siyo vitega uchumi bali pesa za bure. Tanzania kwa miaka 17 walikuwa wanajizolea dhahabu bila kulipa kodi na madini mengine mengi yalikuwa yanasombwa kama wanavyotaka.
Huko kwingine walikowekeza walitakiwa kulipa kodi, kama nilivyosema pesa ya bure tamu.
Kweli leo inaonekana umekalia dushe vzr mpk umepagawa, aliyekuambia tz hakuna mafuta ni nani?Uliskia mabeberu wanashida na visenti vya dhahabu, tena sio kutoka kw the leading country in the world..
Pesa kwn walishatupa ngapinhao mabeberu jamani, yale majamaa yanatka sehemu amabayo kuna mirija iliyoshiba, yani ukivuta hivi hadi tonge linapita..
We unakuja hapa kuturingishia na migodi ya dhahabu geita
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Wale hawataki kujali vipo au havipo, tatizo lao je mirija tukiiwekelea itavuta kw miaka mingapi..Kweli leo inaonekana umekalia dushe vzr mpk umepagawa, aliyekuambia tz hakuna mafuta ni nani?
Alafu we chokoraa dhahabu, tanzanite na almasi unazichukuliaje?
nakuunga mkono....changamoto tunaza tusilipingeSisi tanzania ni matajiri sana ila shida ni moja tu ni kutumia utajiri wetu kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu
yauwongo hiyo mkuukuna sehem nimecheka... sijui imetungwa au kweli.. eti kuna mbunge kaongelea ishu ya terrorist attacks in southern part of tanzania kwamba ni sababu ya tanzania ipewe economic sanctions [emoji23][emoji23]
kinachotokeaga tukikaa nao mezani kihoja huwa tunawachapa....someni huku [emoji23][emoji23]
Wachangiaji Bunge la Ulaya washauri kukatwa kwa misaada Tanzania https://www.jamiiforums.com/index.p...ashauri-kukatwa-kwa-misaada-Tanzania.1811565/
kabisa turudi kwenye thread yetu....Asee hizo habari gani mnaleta mnafahamu hii battle inafuatiliwa na watu wengi embu punguzeni ilo wenge
Afu anakwambia eti mpka picha zako ninazo. Me nawaza tu aliwaza nn mpka kutafuta picha za watu akae nazo.Huyo jamaa au demu ni hovyo kweli Yaani kumjua mtu basi iwe ndo sababu ya kukubali kila kitu. Eti picha anazo sasa si atumie huko chumbani kwake. Yaani jamaa anaona sifa kabisa kua na picha za geza
kuna watu nlikua nawaona wa maana ila baada ya kupelekwa na upepo nkawashusha thamani, bila shaka siku za mbeleni wakikumbuka watajiona wajinga sana😅😅 Kuna vihoja na viroja humu kama vyote, yaani watu wanapelekwa tu na upepo, hawana msimamo
Mtu kasikia jambo tu huko, keshapeperuka nalo juu kwa juu, akifika pahala akasikia wenye akili wanatoa maoni yao yenye mantiki, ghafla anageuka msimamo wake wa awali anapepea na upya na msimamo mpya 😅😅😅
Yaani tafrani
Mkuu wala wasikusumbue hao vipofu wa kureason, njia ikirekebishwa tu wanapotea njiaVita ni vita Mura.
Wewe mjita hujui hayo.
Mkiwa vitani mnapambana askari akianza kwenda kinyume na amri tayari ameshakuwa adui ni kumtandika shaba tu.
Hakuna sanctions wala nini,tuchape kazi,Hii nchi iko affiliated na block zote kubwa duniani kwa utajiri iliyo nao.Shida ni moja kuna baadhi ya wabunge wa bunge la ulaya wameguswa kwny maslahi yao binafsi,wanataka wayageuze maslahi yao binafsi yawe maslahi ya nchi zao na EU kwa ujumla. Wanatafuta sana engo ya kutupasua,wanahangaika tu kiki zao zinabuma.Hata hili litabuma vile vile.mim nilivyoelewa majamaa wametoa maoni na wameomba maelezo! mtu kusema wamepiga sanctions sio kweli.. hakuna nchi ya EU inauhusiano mbaya na Tanzania.. kilichobaki ni kuwapa maelezo tu.. mambo yakae sawa.. haina tofauti na ile ishu ya mkopo wa elimu kutoka WB
Nchi kuwa kwenye orodha ya wazalishaji wa kuu wa dhahabu, haimaanishi kuwa zinaongoza kuwa na hazina kubwa ya madini yaliyopo ardhini. Kwetu walikuwa wanasafirisha makontena mengi wakisema ni mchanga tuu, huku wakiyapeleka madini yetu kwao kuyachenjua na kujumuisha katika orodha ya madini wanayozalishwa huko.Uliskia mabeberu wanashida na visenti vya dhahabu, tena sio kutoka kw the leading country in the world..
Tutahamia soko la Asia china na RussiaHivi ni vitu JPM hajui madaraka yamemuingia kichwani! Ngoja dhahabu yetu na watalii kutoka nchi za magharibi wapigwe marufuku kuja tuone tutatoka vipi!
Mimi sijashadadia sanction bali nimeandika taarifa inayosemea kuhusiana na sanction ambayo tunaweza kupewa na EU.kama umeona kuna sehemu nimeshadadia sanction weka nioneWewe mbona upo kama sikuelewi? Sio wewe nimekusoma hapo ukishadadia hizo sanctions? [emoji848]
Rafiki bunge la ulaya lipo na wabunge 700.Mimi sijashadadia sanction bali nimeandika taarifa inayosemea kuhusiana na sanction ambayo tunaweza kupewa na EU.kama umeona kuna sehemu nimeshadadia sanction weka nione