Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Kwa hivyo umeona neno aisee lina relation na enyewe?Na nyie mnaposema aisee huaga linafaa kitumika
Kwa hivyo umeona neno aisee lina relation na enyewe?Na nyie mnaposema aisee huaga linafaa kitumika
LOL sasa utafananisha coverage ya free Wi-Fi ya Marekani na Kenya ya kwenye restaurants? 😅😅😅Hehee!!kwn kenya ndio hakuna
Umekuja kw coverage tena[emoji23][emoji23][emoji23]LOL sasa utafananisha coverage ya free Wi-Fi ya Marekani na Kenya ya kwenye restaurants? [emoji28][emoji28][emoji28]
Hapa tunaongelea km linafaa sehemu linatumika au la km ulivyomwambia mwenzako..Kwa hivyo umeona neno aisee lina relation na enyewe?
Ni jambo la kawaida kudrive us kwa google navigator plus apps nyingine kwa free Wi-Fi all way long, states Wi-Fi is one of the free welfare services kwenye parks and everywhere 😅😅Umekuja kw coverage tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Still internet marekani ni expensive kuliko kenya na south africa..
Au unataka kusema wanakwepa bills ndio wakalipie za free kw restaurants.
Naona umekosa hoja sasa baada ya kukuuumbua
Aisee ni kuonesha kutahamaki, enyewe ni neno lenye maana nyingine tofauti na matumizi mnayokusudia ninyi ambayo haimake sense, huwezi kupachika tu neno kwenye maongezi from nowhere ambalo halina context na unachozungumza lazima utaonekana hazimoHapa tunaongelea km linafaa sehemu linatumika au la km ulivyomwambia mwenzako..
Unajaribu kumrekebisha wakati wewe mwenyewe kizungu yako inatia huruma while doing thatWakenya mnavyosema neno 'enyewe' in which most of the time you use it is absolute grammatically irrelevant mnasound like lunatics
Unasemaje enyewe sehemu ambapo halihitajiki na halimake sense? Sounds like a certain dunderhead kid trying to construct sentences though in a dumbest manner, horrible 😢😥🙁🤔
Naona umejijibu vizuri[emoji122][emoji122][emoji122]Aisee ni kuonesha kutahamaki, enyewe ni neno lenye maana nyingine tofauti na matumizi mnayokusudia ninyi ambayo haimake sense, huwezi kupachika tu neno kwenye maongezi from nowhere ambalo halina context na unachozungumza lazima utaonekana hazimo
Hicho ni kiingereza sio kizungu, mzungu ni race sio nationality we bwege, wapo wazungu chungu mzima hawaongei wala hawajui kiingereza, ni sawa ukiite kiswahili, kiafrika 😥😢 you sound lunatic as saying 'enyewe'Unajaribu kumrekebisha wakati wewe mwenyewe kizungu yako inatia huruma while doing that
What Naton Jr was telling you, wasn't the actual price. Expensive is relative, a monthly bill could be $100 but if you get paid $10k a month (a ratio of 1 to 100), it's relatively cheaper.Umekuja kw coverage tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Still internet marekani ni expensive kuliko kenya na south africa..
Au unataka kusema wanakwepa bills ndio wakalipie za free kw restaurants.
Naona umekosa hoja sasa baada ya kukuuumbua
Sawa buda. Sasa mbona umrekebishe ukitumia kiingereza na lugha yenyewe huijui?Hicho ni kiingereza sio kizungu, mzungu ni race sio nationality we bwege, wapo wazungu chungu mzima hawaongei wala hawajui kiingereza, ni sawa ukiite kiswahili, kiafrika 😥😢 you sound lunatic as saying 'enyewe'
Wewe ni hater wa kupuuzwa tu.Wakenya mnavyosema neno 'enyewe' in which most of the time you use it is absolute grammatically irrelevant mnasound like lunatics
Unasemaje enyewe sehemu ambapo halihitajiki na halimake sense? Sounds like a certain dunderhead kid trying to construct sentences though in a dumbest manner, horrible 😢😥🙁🤔
Usinimention tena. Mbwa weweWakenya mnavyosema neno 'enyewe' in which most of the time you use it is absolute grammatically irrelevant mnasound like lunatics
Unasemaje enyewe sehemu ambapo halihitajiki na halimake sense? Sounds like a certain dunderhead kid trying to construct sentences though in a dumbest manner, horrible 😢😥🙁🤔
Tetesi na watu wanalalamika 😂😂😂Tatizo hzo ni tetesi bado[emoji23][emoji23] kila anayeulizwa km ameshawai panda akalipa hyo mia hajui..
Glad to see progress on the ground.Somebody said here that 88 Nairobi will never get builtView attachment 1628469View attachment 1628470View attachment 1628471