Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati JPM anaapishwa kuna media yao ilikuwa inarusha live
Mm nilikuwa nashangaa sana kenya inaizd vp Tz nchi yetu tajiri hii, kumbe bhn viongozi wetu walikuwa wanatuzunguka wanakula 10% wamelizika, but now kazi kazi miaka michache tuu tumefanya mambo ambayo kenya hawawezi kufanya kwa miaka 100 ijayo ila wamekaa hapa wanajipa moyo na gdp ushuzi wkt wenzao tunaenda level za Eastern Europe
 
Tulikuwa na viongozi wa ajabu ajabu sana,

Imagine mtu anapewa 10% ili afunge kiwanda cha nchini kwake ili kiwanda cha nchi jirani kikamate soko,

Kiwanda cha matairi ya magari Arusha

Ila kwa sasa hivi kiwanda kimoja kikijengwa au kufufuliwa Tanzania ni kilio kenya.
 
Nani huyo alikula asilimia 10,, na icho kiwanda saiv kimefuguliwa?? Na kama ni kweli mtu alikula asilimia 10 saivi yuko jela au ni siasa tu??
 
Najua wajinga kama wewe hamjui sababu ya Cement kupanda mitaani mmekalia kusambaza ovyo hilo gazeti,

Kwanza cement imepanda baadhi ya sehemu na wafanyabiashara ndio wanapandisha bei mitaani wala viwanda havijapandisha bei ya cement,

Nipo kwenye kiwanda kikubwa kimojawapo cha cement na bei ya cement kiwandani haijafika hata 15,000 per bag.
EmXUosUXcAAOJip.jpg
 
Mm nilikuwa nashangaa sana kenya inaizd vp Tz nchi yetu tajiri hii, kumbe bhn viongozi wetu walikuwa wanatuzunguka wanakula 10% wamelizika, but now kazi kazi miaka michache tuu tumefanya mambo ambayo kenya hawawezi kufanya kwa miaka 100 ijayo ila wamekaa hapa wanajipa moyo na gdp ushuzi wkt wenzao tunaenda level za Eastern Europe
Mm nilikuwa nashangaa sana kenya inaizd vp Tz nchi yetu tajiri hii, kumbe bhn viongozi wetu walikuwa wanatuzunguka wanakula 10% wamelizika, but now kazi kazi miaka michache tuu tumefanya mambo ambayo kenya hawawezi kufanya kwa miaka 100 ijayo ila wamekaa hapa wanajipa moyo na gdp ushuzi wkt wenzao tunaenda level za Eastern Europe
Mm nilikuwa nashangaa sana kenya inaizd vp Tz nchi yetu tajiri hii, kumbe bhn viongozi wetu walikuwa wanatuzunguka wanakula 10% wamelizika, but now kazi kazi miaka michache tuu tumefanya mambo ambayo kenya hawawezi kufanya kwa miaka 100 ijayo ila wamekaa hapa wanajipa moyo na gdp ushuzi wkt wenzao tunaenda level za Eastern Europe
😂😂😂😂napenda vile mnavyo penda kujikweza😂😂 eti eastern Europe😂😂., jaribu mfike level ya Ghana hivi GDP na kama akina Namibia, Botswana kimaisha kwa average raiya kwanza😂😂kisha mkomboe Dar kutokana na low life residentials zilizotapakaa like 85% of the whole sq km. Kisha yale masoko nakubwa (shopping centres) mnayo yaita city jaribu nazo zipate angalau na flyovers na underpass ziweze kuketi meza moja na Dar, na pia ziwe na proper residentials kila corner last sivyo never in this current generation n.a. fikra zenu finyu😂 😂😂😂 eti Europe😂😂😂mbavu zangu😂😂😂 Lupita kasema "dreams are valid" keep on being positive kaka, inakubalika.

Wacha sisi tupambane kuondoa slums., our target 2030. Mwendo wa pole pole.

NMS set to transform Mukuru slums within one year​

Kevin.n
Nov 5, 2020 5:09 PM

The Nairobi Metropolitan Service (NMS) under the leadership of general Badi is currently under control of the most important sectors in Nairobi county, it has done very great job for the few days that it has been in place (less than two years) after it was appointed by his Excellency the president Uhuru Kenyatta in order to transform the city.
8635b8774dd2059dd155aad87a4bec47

The latest plan released by the NMS is the transformation of the Mukuru slums into a modern settlement within a period of one year, the implementation of the plan is already in progress which will muchly focus on water and sanitation, electrification as well roads and drainage systems.
d2c09797dabd51b6723600561da98f21

The national government has already allocated 15 billion for the social housing project which will contain more than 13 000 housing units on a 650 acre piece of land stretching from Marigoini to Viwandani. This will completely transform Nairobi into a modern most city.
 
napenda vile mnavyo penda kujikweza eti eastern Europe., jaribu mfike level ya Ghana hivi GDP na kama akina Namibia, Botswana kimaisha kwa average raiya kwanzakisha mkomboe Dar kutokana na low life residentials zilizotapakaa like 85% of the whole sq km. Kisha yale masoko nakubwa (shopping centres) mnayo yaita city jaribu nazo zipate angalau na flyovers na underpass ziweze kuketi meza moja na Dar, na pia ziwe na proper residentials kila corner last sivyo never in this current generation n.a. fikra zenu finyu eti Europembavu zangu Lupita kasema "dreams are valid" keep on being positive kaka, inakubalika.

Wacha sisi tupambane kuondoa slums., our target 2030. Mwendo wa pole pole.

NMS set to transform Mukuru slums within one year​

Kevin.n
Nov 5, 2020 5:09 PM

The Nairobi Metropolitan Service (NMS) under the leadership of general Badi is currently under control of the most important sectors in Nairobi county, it has done very great job for the few days that it has been in place (less than two years) after it was appointed by his Excellency the president Uhuru Kenyatta in order to transform the city.
8635b8774dd2059dd155aad87a4bec47

The latest plan released by the NMS is the transformation of the Mukuru slums into a modern settlement within a period of one year, the implementation of the plan is already in progress which will muchly focus on water and sanitation, electrification as well roads and drainage systems.
d2c09797dabd51b6723600561da98f21

The national government has already allocated 15 billion for the social housing project which will contain more than 13 000 housing units on a 650 acre piece of land stretching from Marigoini to Viwandani. This will completely transform Nairobi into a modern most city.
Cku kenya ikijaribu kuondoa japo robo ya slums ilizonazo nitag nitoke Jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom