Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A good move, lakini kwa opinion yangu, county government system in Tanzania can work 'magic', more than that! Serikali ya majimbo inaweza peleka Tz kwa mwendo wa kasi, yaani economy will be Turbo charged! Mtazamo wangu kutokana na vile nimeona impact yake hapa Kenya, na Tz is full of natural resources almost all around the country.
Usitufundishe maisha ww, cc tumechagua njia hii tunayoona inafaa, mali haijawahi kumfanya mTz akakosa utu km nyie.

Cc co wabinafsi so upuuzi wenu endeleeni nao nyie wenyewe msituletee cc huku.
 
Uli-capture na SGR station 👏🏽👏🏽
D88F578F-F0E8-456A-B5EE-710F27030448.jpeg
 
A good move, lakini kwa opinion yangu, county government system in Tanzania can work 'magic', more than that! Serikali ya majimbo inaweza peleka Tz kwa mwendo wa kasi, yaani economy will be Turbo charged! Mtazamo wangu kutokana na vile nimeona impact yake hapa Kenya, na Tz is full of natural resources almost all around the country.
 
Usitufundishe maisha ww, cc tumechagua njia hii tunayoona inafaa, mali haijawahi kumfanya mTz akakosa utu km nyie.

Cc co wabinafsi so upuuzi wenu endeleeni nao nyie wenyewe msituletee cc huku.
My opinion(yani maoni yangu tu) machungu ya nini😂😂😂., mbona una hisia za ki chuki chuki hivi?😂😂 mafeeelings wachanga sazingine😂😂
Tanzania is likely to remain ya "viwonder" for long, haitokombolewa in this current generation, am sorry to say, it is an absolute fact.
 
My opinion(yani maoni yangu tu) machungu ya nini., mbona una hisia za ki chuki chuki hivi? mafeeelings wachanga sazingine

Na ndiyo maana tunafanya miradi ambayo kwenu ni ndoto.
 
Nyie mnatuonea wivu sn na Tz yetu, ninaamini kabisa kwenye Wakenya 10 basi 6 kati yao wanataka kuwa WaTz, mnaona wivu mno na niwaambie tu kwamba msione vyaelea vimeundwa.
 
Ndoto wapi? Kila nchi imechukua mkondo wake n still u are way below Kenya! Mambo kimya kimya 254!😂(Kenya uchumi wa kwenye makaratasi, yani fake GDP). Malizeni hizo miradi tuone kama masikini watapungua😂😂 huo mtindo wa kiuchumi haikomboi masikini mtanzania, take it to the bank! Dar is on a superhighway to be Lagos. I can bet on it!😂😂
 
Ndoto wapi? Kila nchi imechukua mkondo wake n still u are way below Kenya! Mambo kimya kimya 254!(Kenya uchumi wa kwenye makaratasi, yani fake GDP). Malizeni hizo miradi tuone kama masikini watapungua huo mtindo wa kiuchumi haikomboi masikini mtanzania, take it to the bank! Dar is on a superhighway to be Lagos. I can bet on it!
Ss kati ya Tz na kenya ni wapi kuna maskini wengi.
 
Nyie mnatuonea wivu sn na Tz yetu, ninaamini kabisa kwenye Wakenya 10 basi 6 kati yao wanataka kuwa WaTz, mnaona wivu mno na niwaambie tu kwamba msione vyaelea vimeundwa.
Do a research; post your hypothesis kwa mtandao, or tag kenyans on twitter utajua haujui😂😂, wakenya wengi hawaijui Tanzania, trust me!, only Diamond na bongo flava, many look down upon you na wanawahurumia ju ya Magufuli😂😂😂 fanya utafiti uone percentage! Kuna wanao penda Tz, kama mimi sina chuki na Tz kamwe, napenda kuwaumbua watu kama wewe kutokana na fikra zenu duni!
 
Do a research; post your hypothesis kwa mtandao, or tag kenyans on twitter utajua haujui, wakenya wengi hawaijui Tanzania, trust me!, only Diamond na bongo flava, many look down upon you na wanawahurumia ju ya Magufuli fanya utafiti uone percentage! Kuna wanao penda Tz, kama mimi sina chuki na Tz kamwe, napenda kuwaumbua watu kama wewe kutokana na fikra zenu duni!
Unaweza usimjue babaako anayekupa ugali?
 
Ss kati ya Tz na kenya ni wapi kuna maskini wengi.
Facts ziko wazi kaka😂😂 EAC na SADC bingwa anajulikana, Eastern african region pia Ethiopia mmewapiku😂😂hauna taarifa?, wewe ulikua unafikiria nini?.,
Hapa kwa umasikini in Africa ni mtu binafsi ajitume ajikomboe, hakuna cha nchi per'se.
 
Facts ziko wazi kaka EAC na SADC bingwa anajulikana, Eastern african region pia Ethiopia mmewapikuhauna taarifa?, wewe ulikua unafikiria nini?.,
Hapa kwa umasikini in Africa ni mtu binafsi ajitume ajikomboe, hakuna cha nchi per'se.
Nimekuuliza kati ya kenya na Tz nchi ipi ina maskini wengi c ujibu ss mbn waruka ruka km kuku aliyechinjwa.
 
Do a research; post your hypothesis kwa mtandao, or tag kenyans on twitter utajua haujui, wakenya wengi hawaijui Tanzania, trust me!, only Diamond na bongo flava, many look down upon you na wanawahurumia ju ya Magufuli fanya utafiti uone percentage! Kuna wanao penda Tz, kama mimi sina chuki na Tz kamwe, napenda kuwaumbua watu kama wewe kutokana na fikra zenu duni!
ET wakenya wengi hawaijui tz acha mambo hayo bro media za kenya hapa nazungumzia ktn haipiti siku kweny habari zake bila kuzungumzia maswala ya tz....hapo umechemka Labda udanganye mambumbu bro.
 
Unaweza usimjue babaako anayekupa ugali?
Kama ananipa bure nitamjua, lakini nanunua kutoka kwa wengi tu! Mara Brazil, Uganda, Zambia, Malawi, Tz n.k. who cares to know? Natoa pesa😂😂😂 baba analisha jamii yake bure, hiyo ndio tofauti😂😂
 
ET wakenya wengi hawaijui tz acha mambo hayo bro media za kenya hapa nazungumzia ktn haipiti siku kweny habari zake bila kuzungumzia maswala ya tz....hapo umechemka Labda udanganye mambumbu bro.
Viongozi wao daima kuabudu Tz tu kila siku Tz tu midomoni mwao af unadhani itakuwaje kwa wananchi na ndiyo maana Wakenya wengi wanapenda kuwa WaTz cz wanaona Tz km Heden.
 
Kama ananipa bure nitamjua, lakini nanunua kutoka kwa wengi tu! Mara Brazil, Uganda, Zambia, Malawi, Tz n.k. who cares to know? Natoa pesa baba analisha jamii yake bure, hiyo ndio tofauti
Hehehehehe njaa mby sn wallahi, hatimaye umejikanyaga mwenyewe, yn usimjue mtu anayekulisha mbn ingekuwa ni jambo geni duniani hapa
 
ET wakenya wengi hawaijui tz acha mambo hayo bro media za kenya hapa nazungumzia ktn haipiti siku kweny habari zake bila kuzungumzia maswala ya tz....hapo umechemka Labda udanganye mambumbu bro.
Hapo ndio fikra zenu zimewafikisha😂😂😂! Tz will be in Kenyan media for stupid reasons mostly! Na hapo utapata watu wana flip channels, wakenya wanapenda siasa za Tangatanga na kieleweke, na BBI, wengi wanafuatilia interviews za news, mengine ni kama 'kadhalika'., fanyeni utafiti.,
 
Hehehehehe njaa mby sn wallahi, hatimaye umejikanyaga mwenyewe, yn usimjue mtu anayekulisha mbn ingekuwa ni jambo geni duniani hapa
😂😉😉😉😂😂 "....anayekulisha.." 😂😉😂😉😂 you are funny, ebu rudia tena?😂😂
 
Back
Top Bottom