ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
So kwa sasa sio ya pili 😂😂😂For now haha,we hujui ile development inaendelea hapo kwa Sasa,utashangaa Sana kuwa ya pili karibuni
So kwa sasa sio ya pili 😂😂😂For now haha,we hujui ile development inaendelea hapo kwa Sasa,utashangaa Sana kuwa ya pili karibuni
Mwanza inajenga Stend Mbili. Hiyo iliyowekwa hapo ipi Wilaya ya Ilemelan nyingine ambayo ndio kubwa kuliko hiyo iko Nyegezi Mwanza nayo U/C Sambamba na Soko Kuu la Jiji la MwanzaNalimiskia mkurugenzi wa jiji la arusha anasema ileendi mpya itakayo jengwa arusha ndo itakuwa Bora kuliko zote TZ sijui ipoje asee
Ivi kwanza ww unaijua mall ya pili Africa ina squire meter ngapi? Mpka unaropoka kama mnywa githeri?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]For now haha,we hujui ile development inaendelea hapo kwa Sasa,utashangaa Sana kuwa ya pili karibuni
Usinipangie cha kuposti! Ikikuuma pita tu kimyakimya!Sanister akituma tena vipicha vyake vya Nairobi nishtue
Hapo ni wapi???😂😂😂😂
Unless u prove me wrong😂😂😂Huku ni South Africa! Usilazimishe iwe Kenya. Fanya research kabla ya kupost.
Unless u prove me wrong😂😂😂
Ma3Route hawasemi urongo! Hiyo ni Kenya kabisa 100%.Huku ni South Africa! Usilazimishe iwe Kenya. Fanya research kabla ya kupost.
Walitaja ni Kenya wapi? Naomba unionyeshe.Ma3Route hawasemi urongo! Hiyo ni Kenya kabisa 100%.
Walitaja ni Kenya wapi? Naomba unionyeshe.
![]()
Ma3Route
@Ma3Route
·
Nov 7
16:04
@WilsonWaGitau
And the contractor is never arrested and charged with such a shoddy work. He'll go scot free and continue enjoying the tax payers coffers. Kenya is one country that is a great country to live in
@JamesMacharia_
via
@morethantribe
Weka evidence.Stop fooling your self in Africa your no 7 (per squire meters)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona umeamua kuutetea utu wako sioJamaa ananichukulia simple na hanijui acheni tabia ya mazoea
Hahaha jamaa anazingua 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona umeamua kuutetea utu wako sio
Sina haja ya kuangaika kuwek evidence ya kitu akipo Tz...pengine subiri hii ikakamilik [emoji116] ntafanya hivyWeka evidence.