komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Nawaona wazee wa VPN[emoji23][emoji23]Hapa jamaa wmeniacha kwani wanahesabuje kura hawa jamaaaView attachment 1619442
Nawaona wazee wa VPN[emoji23][emoji23]Hapa jamaa wmeniacha kwani wanahesabuje kura hawa jamaaaView attachment 1619442
Hii walipuliziwa Halothene. Once you inhale it, unazima! Mnashtukia asubuhi wapangaji kwani mlipanga kuchelewa shughuli za kwenda kazini 😅Duh!!nairobi bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mshikaji wa hapo kachomoa waya sio kawaida aisee
Kw wazungu huo mfumo unawafaa hta km una changamoto zake, ila hku kwetu afrika tusubiri sana..
Kwanza wakiileta hku kwetu hao wazee wa kazi watakua km mabeberu, unatishiwa ufanye wanavyotaka au next election wakuangushe
bado hapo anategemewa kuongeza 16 electoral votes yet alikuwa 238 na hiyo voting count ni only 94% na margin ni 0.2% ndo maana unaona iko-light blue maana yake anaongoza mpaka iwe deep blue! The same is where it is light pink! huu mchezo unaweza kuenda mpaka Friday depending on how fast the count on postal ballots !guys, Joseph (Joe) Biden is the new President of USA
View attachment 1619481
Hehehe. Ogopa Kenya. Hao wamenyunyiziwa dawa ya kulala.
au kukawa na blackout ikashindwa kufanya kazi! 🤣 ☝️ 👇 🤣Hehehe. Ogopa Kenya. Hao wamenyunyiziwa dawa ya kulala.
Kuna hadithi huwa nasema na iko hivi:
Mzungu kutoka Uingereza kavumbua mashine ya kukamata wezi. Ili kuifanyia testing akaipeleka Marekani halafu mashine hio ikakamata wezi 20. Kisha akaipeleka Uchina na huko ikakamata wezi 30. Halafu akaamua kuipeleka Nigeria na huko ikakamata wezi 1,000. Sasa akaamua kumalizia testing yake kwa kuileta mashine hio hapa Kenya. Lakini tatizo ni kuwa alipoileta Kenya mashine yenyewe iliibiwa.
Yani ubakie hko hko sio kw serikali hizi zetu, yani tutapata tabu sanahuu mfumo kwetu ni mgumu
bado hapo anategemewa kuongeza 16 electoral votes yet alikuwa 238 na hiyo voting count ni only 94% na margin ni 0.2% ndo maana unaona iko-light blue maana yake anaongoza mpaka iwe deep blue! The same is where it is light pink! huu mchezo unaweza kuenda mpaka Friday depending on how fast the count on postal ballots !
Kuna wabongo hku nao wanarandranda kw streets chunga sana, wachawi kishenzi yani ukiwa town ukipewa salamu then upeane mkono kwisha habari yako[emoji23][emoji23]Hii walipuliziwa Halothene. Once you inhale it, unazima! Mnashtukia asubuhi wapangaji kwani mlipanga kuchelewa shughuli za kwenda kazini [emoji28]
yes i understand, ila hizo ni ngome za democrat’s.. trump hawez kuchukua yoyote.. so kura zote hizo zitamuangukia biden
Umeanza sio?Arusha si wanaiba nairobi vitu vingi tu[emoji23][emoji23]
Shenanigan wa mombasani katika ubora wakeAcha ushamba wewe, wataka kulinganisha subaru gang ya nai na arusha kwel..
We jamaa huaga unajiskiza
Geita ni Mkoa Tajiri kuliko yote Tanzania nje ya Dar Es SalaamShenanigan wa mombasani katika ubora wake
Ninyi mtoe wapi ubabe wa kutunishiana misuli na Subaru addicts wa Tanzania? Yaani tena hapo ni Arusha tu, huko Geita kuna Subaru fanatics mje wote hamuwawezi hata robo
Kwanza ninyi pesa za Subaru mnatoa wapi?
Na kweli ni faken boysAnadhani kuwa na Subaru Kenya ni Swag.
Huku huitwa fvckboyz!
Sasa subaru ni nn jamani, kitu ambacho mpka graduates wanamiliki..Shenanigan wa mombasani katika ubora wake
Ninyi mtoe wapi ubabe wa kutunishiana misuli na Subaru addicts wa Tanzania? Yaani tena hapo ni Arusha tu, huko Geita kuna Subaru fanatics mje wote hamuwawezi hata robo
Kwanza ninyi pesa za Subaru mnatoa wapi?
Sidhani kuna mwenye akili timamu atapinga hili!Geita ni Mkoa Tajiri kuliko yote Tanzania nje ya Dar Es Salaam
Kumiliki subaru kenya sio swag[emoji23][emoji23]Na kweli ni faken boys
Subaru za ndala [emoji28][emoji28]
Wewe nilishakupuuza toka ujafikiriaSasa subaru ni nn jamani, kitu ambacho mpka graduates wanamiliki..
We hata niwa kupuuzwa
Hku ndio hawanunui sio[emoji3]Wewe nilishakupuuza toka ujafikiria
Ninyi graduates ndio wanazimiliki wakati Geita teenagers wenye early 20s ndio wamiliki tena kwa jasho lao la vumbi tu za gold.