Sasa mimi mambo ya belgium yananihusu nini??muulize Robert Amsterdam akwambie usaliti ninini
ivi unaijua Belgium katika ulimwengu huu wa ubepari?
Tanzania nizaidi ya uijuavyo broh
Geza, fungua uzi wako uongelee haya unayoyaweka. Plz, hii ni battle btn Nairobi and Dar es salaam.kama wewe unavyozeeka ukifuatilia post zangu! Nina uhakika ukiingia JF cha kwanza ni kutafuta Geza Ulole ka-post nn! naskia hii slum inaitwa Bangladesh!
Hahahaha kwa hiyo unataka kusema Lisu ni popular kumzidi Lowassa? Em Tumia akili kidogoHii ni mara yako ya ngapi kupiga kura??
ichoboy01
Inawezekana kutokakana unavoongea ikawa kma mara ya pili au ya tatu...
Uchaguzi wa mwaka huu sio hata wa kubishana kuhusu haki au sio wa haki ni inshu ya kunyamaza tu.. ila kama tukiongelea uhalali ni AIBU!!!
Chamsingi sio vitu vya kuongelea kwenye uzi huu.
Hahahaha kwa kweli tu, sababu naona vihoja hapa kwamba kuna watu kabisa walitegemea mtu fulani angeshinda, haya ni maajabu ya dunia.Acheni siasa kwenye huu uzi kila mtu akalie kivyake.
Hakuna kabisa upinzani Tanzania me mwenyewe nimefrahi sanaMkuu mm naelewa kabisa unachomaanisha kwmb co kuwa hujapendezwa Magu kushinda ila unataka japo kuwe na upinzani bungeni lkn Geza ukweli ni kwamba upinzani wa Tz hauna maana yoyote mana wameweka mbele matumbo yao, hebu angalia mtu km zito ni mbunge wa Kigoma mjini lkn asilimia kubwa maisha yake ni Dar.
Hivyo hivyo profesa jay, Mbowe, Sugu na pia hata wengi wa wabunge wa ccm, ilikuwa kwamba ubunge ni pesa lkn co kupambania wananchi, so hiki kitu Magu amekuwa akikipinga sn hivyo basi kwa sababu hizo wananchi wameona ni bora kumpa Magu wabunge wa chama chake ili awanyooshe vzr, and trust me Geza wabunge wa ss watabadilika sn na Magu anaenda kuonesha thamani ya mwananchi na anakwenda kubadili kabisa taswira hasi kuhusu ubunge na baada ya miaka hii mitano sidhani km ubunge utakuwa ni kitu cha kukimbilia we ngj uone.
Umekuwa moderator of a sudden?Geza, fungua uzi wako uongelee haya unayoyaweka. Plz, hii ni battle btn Nairobi and Dar es salaam.
Mimi hata sikuwa nataka Lissu ashinde...Ila kwa upande wa wabunge...Watu wengi wanalalamikia juu ya wabunge....Usipoliona ilo utakuwa na matatizo..Hahahaha kwa kweli tu, sababu naona vihoja hapa kwamba kuna watu kabisa walitegemea mtu fulani angeshinda, haya ni maajabu ya dunia.
Hiyo dawa inaitwaje na kama hutojali naomba muongozo wa kumpata huyo mganga tafadhari kuna mtu anatusumbua nyumbani kwa ajili ya pombe. Kesha lidhia tukipata dawa ya kumfanya aache pombe yuko tiari kwa lolote. Tafadhari mkuu
Wacha geza ulole aongee kilicho moyoni hyo ndio demokrasia muwache kuwa intorelantUmekuwa moderator of a sudden?
Number nakupatia
Huyu Robert anajulikana kwa kuangusha tawala nyingi duniani...Ndo aliangusha utawala wa Venzuela....Napia anataka kuangusha utawala wa Russia wa Vladmir Putin...
Siasa Ni maishaAcheni siasa kwenye huu uzi kila mtu akalie kivyake.
Sio rahisi ivyo mzee!!! Tusi wategemee hawa watu kufanya mabadiliko. Mabadiliko yao hayaji bure lazima kuwe na costs.Huyu Robert anajulikana kwa kuangusha tawala nyingi duniani...Ndo aliangusha utawala wa Venzuela....Napia anataka kuangusha utawala wa Russia wa Vladmir Putin...
Sina mapenzi na mbunge yeyote ila kitendo cha wabunge wote wa upinzani kupigwa chini nimeona dhahiri kuna mchozo mchafu sana sina tatizo na kiti cha uraisi japo napo asilimia zimeongezwa. Ila angeshinda tu japo sio kwa asilimia izo.Mimi hata sikuwa nataka Lissu ashinde...Ila kwa upande wa wabunge...Watu wengi wanalalamikia juu ya wabunge....Usipoliona ilo utakuwa na matatizo..
Hawa jamaa walijua hawawezi kushinda, wakajiandaa na vimbwaga vya hapa na pale ili kuchafua uchaguzi,huyu kaishiwa na hzi ni technics za upinzani ila hazina ukweli nilkua leo nasikiza TBC jamaa akielezea anakwambia kwa awamu hii ilikua ni ngumu sana kuiba kura kaelezea vzr sana na ukiangalia ni kweli kwasababu na mm pia nimepiga kura nimeona
Wewe ulitaka asilimia ngapiMimi
Sina mapenzi na mbunge yeyote ila kitendo cha wabunge wote wa upinzani kupigwa chini nimeona dhahiri kuna mchozo mchafu sana sina tatizo na kiti cha uraisi japo napo asilimia zimeongezwa. Ila angeshinda tu japo sio kwa asilimia izo.
Uchaguzi hauanzi wakati wa kampeni, uchaguzi ulianza kwenye kujiandikisha wengi walidharau, ccm walihimiza wanachama wao kujiandikisha.Mm nilikuwepo ktk kuhesabu kura ilikuwa wazi kabisa hakuna wizi wwte, ktk maeneo mengi mambo yalikuwa wazi kabisa, huenda ccm pia walijiandaa kwa njia yoyote lkn wakashangaa kuona wananchi walijiandaa kuangusha upinzani kuliko ccm.
Uambiwe na nani?pia kuna janga ya ku-switch majina na vituo ushenzi huo haukufanyika Dar as such nenda mikoani uambiwe!
Nakumbuka sana, alikuwa anatupia madongo fulani kiaina.Geza hata kipindi kile cha corona alianza kupanic huku akilaumu hatua alizochukua JPM,
Nilikuwa nakutana na comments zake kwenye jukwaa la siasa.
Wakati Wa corona waliletewa picha za makaburi na majaneza. Teh tehHuwezi amini bado kuna wajinga wanakamatika kwa huu upotoshaji.