Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,915
- 103,782
ila 37 bridges nyingi kwa nchi kubwa kama China (super power) nadhani kuna usimamizi mbovu mahali dhidi ya vishoka! Nchi kama china ina fedha!I'm not, in any shape or form, rooting for China but I smell a lot horseshit in this video.
Ni kweli, ila China wana madaraja zaidi ya laki nane, madaraja 37 yaliyolipuliwa kujengwa vijijini hayawezi kutoa takwimu halisi za ubovu wa ujenzi china.ila 37 bridges nyingi kwa nchi kubwa kama China (super power) nadhani kuna usimamizi mbovu mahali dhidi ya vishoka! Nchi kama china ina fedha!
![]()
View attachment 1614157
Inaweza ikatumia diesel na isiwe DMU pia inaweza ikatumia umeme na isiwe EMU.Kwa lugha ya yahe
DMU= treni inayotumia dizeli
EMU= treni inayotumia umeme
Hiyo ya chini ndiyo mtumba from Spain ila hyo ya juu ni train ya majaribio toka Yarpi merkezi mkuu.Mtumba ipi? Chagua kati ya hizi mbili
Tanzania
View attachment 1613937
Kenya
View attachment 1613938
Hapo mngesolve tatizoI agree. We should have built that metro line instead of an express highway.
Sasa umeshasema feasibility Study ni early stage of Project, vipi tena hutaki kuhesabu muda wake kama sehemu ya project?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kuna mtu hapo kwa comment ana complain kuwa meleta mbili tu? Kuna ukweli gani apo? Na km kweli ni mbili"">October 27, 2020



itakuwa some body got a joke aaah"https://t.co/gHOSzK4WAe">pic.twitter.com/gHOSzK4WAe</a></p>— AlexChamwada OGW (@AlexChamwada) <a href="">October 27, 2020</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>Hiyo ya chini ndiyo mtumba from Spain ila hyo ya juu ni train ya majaribio toka Yarpi merkezi mkuu.
Zimeagizwa kumi. Tatu zimeshafika nchini.Kuna mtu hapo kwa comment ana complain kuwa meleta mbili tu? Kuna ukweli gani apo? Na km kweli ni mbiliitakuwa some body got a joke aaah
Na kila moja ina capacity gani?Zimeagizwa kumi. Tatu zimeshafika nchini.
Genius tatizo lako ni nini? Nimesema kwa "lugha ya yahe" ama hujui yahe ina maana gani?Inaweza ikatumia diesel na isiwe DMU pia inaweza ikatumia umeme na isiwe EMU.
Sina habari. Ila ukitazama kwenye video ya twitter niliyoweka hapo juu utaona kuwa hio treni ina mabehewa takriban tano. Ila sijui capacity ya kila behewa.Na kila moja ina capacity gani?
Kura ya leo haina umuhimu sana kwasababu matokeo yapo wazi sanaLeo nikiona Mtanzania yeyote hapa JF kabla ya saa kumi jioni nitajua huyo amekataa kupiga kura.