Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Kumbe Temlo da vinca ni muarabu mwingine?Jamani mkapige kura sio kuongea tu humu.. Nshampa jembe jpm nmetulia zangu nowView attachment 1614268
Cc: ichoboy01
Kumbe Temlo da vinca ni muarabu mwingine?Jamani mkapige kura sio kuongea tu humu.. Nshampa jembe jpm nmetulia zangu nowView attachment 1614268
Mbona watanzania wengi tupo hivyo,Kumbe Temlo da vinca ni muarabu mwingine?
Cc: ichoboy01



Linafanana na lile letu!Unazungumzia kuhusu hio bridge kwenye 2 min:55 sec kwenye video? Hio ni bridge iliyo China. Hio sio Tsavo bridge ila design zinafanana
Afu mm mweusi kinoma huo mkono tu.
Wewe jamaa 🤣🤣🤣Wewe Geza una matatizo ya akili sio bure, hivi kwanini unadhani wewe ndio unajua kila kitu hapa JF, hivi unataka kujifanya wewe ni "the most genius " hapa ndani kwasababu gani?.
Hii discussion ulinikuta ninajibishana na Tony254, wewe umeingilia kati na kudakia haya mazungumza, na unataka ukisema wewe watu wote wanyamaze hapa JF, wakati unazungumza upupu mtupu wakati mwengine ila tunakuvumilia.
Upunguze upumbavu wako wakujifanya unajua kila kitu, eti unifundishe mimi wewe, wewe ninaweza kukufundisha hadi uzeeke, hunifikii kwa lolote wewe, mjinga kabisa wewe.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Let me guess, amekaa Mkamba mkamba! Anaweza kuwa na damu ya TZ pia! Yupo jamii ya Kalonzo, Charity Ngilu na Alfred Mutua 🤣 🤣 👇👆Tony254 hivi unaweza kutuambia wewe ni kabila gani na umekulia wapi? Nauliza hivi kwasababu uko tofauti sana na wenzio. Samahani sana kama maswali yangu yatakukwaza.
Japo sikubaliani na wewe katika kumuuliza kabila, ila ninakubaliana na wewe katika vipengele vyote vilivyobaki, hana tabia za Kenya kabisa, jamaa ni tofauti sana.Tony254 hivi unaweza kutuambia wewe ni kabila gani na umekulia wapi? Nauliza hivi kwasababu uko tofauti sana na wenzio. Samahani sana kama maswali yangu yatakukwaza.
kaka, fingerprint nje nje hapo,Tukutane na sandukView attachment 1614425
Fact mkuu, nakubaliana na ww katika hilo thanks for positive attitude..kaka, fingerprint nje nje hapo,
Jamani watanzania na wana EA wenzangu, nchi zetu zilishaondoka kule kwenye mambo ya "faili lako hatulioni". Kila taarifa iliyohifadhiwa haipotei na inaweza kunakiliwa na yoyote yule hata akiwa nje ya nchi.
Unaweza usijali ya leo lakini hujui kesho identity yako itatumikaje, au mwanao au hata wajukuu zako wataathirika vipi.
Unaweza kuja kutaka kugombea ubunge baadae au ukatibu mkuu wa UN. Wapinzani wako wanaweza kuipata fingerprint yako mahali, na kwenda kuitafuta mitandaoni. Kutoka hapo watakuja kuoanisha na hili bandiko, wataangalia post zako zote na hatimae utakuwa "kwisha habari yake".

Kura yangu haiwezi kubadilisha lolote lile, hadi pale kutakapotokea upinzani wenye nguvu na kuitikisa CCM ndio nitapiga kura.joto la jiwe najua leo haendi kupiga kura.
Kabila langu siwezi kulitaja hapa ila mama ni wa kabila tofauti na baba. Wazazi japo wanatoka kabila tofauti walipendana na kufunga ndoa. Kisha mimi na ndugu zangu wawili wote hatuzungumzi lugha ya mama au baba. Sisi tunafahamu lugha mbili tu Kiswahili na Kizungu japo mimi nazungumza ya tatu , lugha ya kiczech wanayozungumza watu kutoka nchi ya Czech Republic huko Central Europe, nilikoishi kwa miaka miwili.Tony254 hivi unaweza kutuambia wewe ni kabila gani na umekulia wapi? Nauliza hivi kwasababu uko tofauti sana na wenzio. Samahani sana kama maswali yangu yatakukwaza.
Nakuru ulienda mwaka gani!?Kabila langu siwezi kulitaja hapa ila mama ni wa kabila tofauti na baba. Wazazi japo wanatoka kabila tofauti walipendana na kufunga ndoa. Kisha mimi na ndugu zangu wawili wote hatuzungumzi lugha ya mama au baba. Sisi tunafahamu lugha mbili tu Kiswahili na Kizungu japo mimi nazungumza ya tatu , lugha ya kiczech wanayozungumza watu kutoka nchi ya Czech Republic huko Central Europe, nilikoishi kwa miaka miwili.
Halafu nimelelewa katika cities tatu hapa Kenya kwa hivyo nimetangamana na kabila nyingi hapa Kenya.
Nimezaliwa Kisumu kwa wajaluo na kuishi kwa miaka kumi huko. Kisha Nikaenda Nakuru kwa Wakikuyu na Wakalenjin, nikaishi huko hadi nilipomaliza university ndipo nikaenda Nairobi kufanya kazi. Nairobi utapata kabila zote mchanganyiko. Nimetangamana na Waafrika, Wazungu na watu kutoka bara la Asia. Nadhani ili mtu ajue kuishi na watu vizuri lazima utangamane nao. Ila chuki huwa inaletwa na kukosa kutangamana na watu waliotofauti na wewe. Tutembee kote kote na tutangamane na kila mtu ili tukomeze chuki baina yetu sisi wanadamu.
Ngugi hawezi kukuelewa huzungumzi lugha ya Kikabila!Kabila langu siwezi kulitaja hapa ila mama ni wa kabila tofauti na baba. Wazazi japo wanatoka kabila tofauti walipendana na kufunga ndoa. Kisha mimi na ndugu zangu wawili wote hatuzungumzi lugha ya mama au baba. Sisi tunafahamu lugha mbili tu Kiswahili na Kizungu japo mimi nazungumza ya tatu , lugha ya kiczech wanayozungumza watu kutoka nchi ya Czech Republic huko Central Europe, nilikoishi kwa miaka miwili.
Halafu nimelelewa katika cities tatu hapa Kenya kwa hivyo nimetangamana na kabila nyingi hapa Kenya.
Nimezaliwa Kisumu kwa wajaluo na kuishi kwa miaka kumi huko. Kisha Nikaenda Nakuru kwa Wakikuyu na Wakalenjin, nikaishi huko hadi nilipomaliza university ndipo nikaenda Nairobi kufanya kazi. Nairobi utapata kabila zote mchanganyiko. Nimetangamana na Waafrika, Wazungu na watu kutoka bara la Asia. Nadhani ili mtu ajue kuishi na watu vizuri lazima utangamane nao. Ila chuki huwa inaletwa na kukosa kutangamana na watu waliotofauti na wewe. Tutembee kote kote na tutangamane na kila mtu ili tukomeze chuki baina yetu sisi wanadamu.