Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama unazungumzi ujenzi kama "construction" kama sehemu ya project nzima, hapo ni sahihi kuanzia contractor anapopatikana, lakini tukizungumzia neno " Mradi wa ujenzi wa Bomba la mafuta", basi lazima unaanzia mwanzo ikiwemo feasibility study.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
EXACTLY Ujenzi haujaanza na mkandarasi bado hajateuliwa! Unachozungumzia wewe ni planning and financing stages!
 
EXACTLY Ujenzi haujaanza na mkandarasi bado hajateuliwa! Unachozungumzia wewe ni planning and financing stages!
Ninadhani ni vizuri kuhesabu muda wa project kuanzia feasibility study, kuliko kuanzia kipindi alichopatikana contractor

Unakumbuka jinsi Magufuli alivyomsukuma M7 alipokuja Tanzania kwa mara ya kwanza kuzungumzia huu ujenzi, alifikia hatua ya kumshauri kuwafukuza kazi baadhi ya wafanyakazi wa URA kwa kuchelewesha mambo, kwasababu tayari project ilikua imeshaanza lakini bado ilikua katika hatua za setikalini. Kawaida serikali haipendi kusukumwa ndio sababu kipindi hicho hawataki kihesabiwe, ila wakishamkabidhi kazi mkandarasi, ndio wanaanza kuhesabu siku

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mbezi
 
Attachments

  • IMG_20201027_173118_0.jpg
    IMG_20201027_173118_0.jpg
    333.4 KB · Views: 6
Ninadhani ni vizuri kuhesabu muda wa project kuanzia feasibility study, kuliko kuanzia kipindi alichopatikana contractor

Unakumbuka jinsi Magufuli alivyomsukuma M7 alipokuja Tanzania kwa mara ya kwanza kuzungumzia huu ujenzi, alifikia hatua ya kumshauri kuwafukuza kazi baadhi ya wafanyakazi wa URA kwa kuchelewesha mambo, kwasababu tayari project ilikua imeshaanza lakini bado ilikua katika hatua za setikalini. Kawaida serikali haipendi kusukumwa ndio sababu kipindi hicho hawataki kihesabiwe, ila wakishamkabidhi kazi mkandarasi, ndio wanaanza kuhesabu siku

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
ndo maana mradi una phases tatizo lako hufundishiki sasa humu JF kunakusaidia vipi? How can u count planning stages as a construction stage wakati nyingine hufanyika ndani kwa ndani under technical committee as feasibility study? Kwani walioweka stages na nyingine zikiwa preliminary walikuwa wajinga?

Halafu tayari unachanganya legal, environmental, administrative negotiations kati ya stakeholders na Total at that time on who will get what as far as royalties and taxation, land acquisition and environmental assessment na hujumuisha consensus zinazokusanywa kupitia public participation ndo kitu alichoongelea JPM na akampa ushauri Museveni. All these fall under Host Government Agreements.

Now after HGA, the ball is on Total n CNOOC and their financing institutions towards FID. Hili bomba lenyewe wanaonaolijenga ni Total as main shareholder akifuatiwa na CNOOC halafu Uganda ambaye automatically ana stake kama mwenye resources! Sisi ni minor stakeholders tu tena sina uhakika kama tusha-commit kwenye kulipia our stake.

A simple google nimepata hii, pitia ujue the processes

MY TAKE
Plse naomba usini-nag maana huwa at times una-bore!
 
Kwanii inazunguka Nairobi nzima? jenga network kwanza na uwaache upumbavu! 😀 😀 ☝️
Phase 2 na 3 ina involve ujenzi wa network mpya. Nilishakuambia hapa siku nyingine kuwa network ya phase 2 treni zitakuwa za Alstom na zitakuwa EMU na ukapinga kwa machungu sana. Lakini subiri utaona.
 
Nilikupa majibu kwann haitakuwa EMU bali DMU na nikakupea twitter evidence! Ukanyamaza!

here are the are the partners who will incharge of the project ..but jua alstom they deal with DMUS engine only...na hii project si ya serikali ni ya investor
2594318_1603101950796.png

Una evidence gani kuwa itakuwa DMU?
Usianze league la ubishi! ☝️ 😂 😂 ☝️

Basi kama EMU then seamless operation haitakuwapo maana naamini treni ya JKIA itaingia mpaka CBD na CBD yenu ya commuter trains haina infrastructure ya ku-accomodate EMU! It will be a wastage of this investment! try to make use of that brain of urs!
 
Kwa route moja 1 mln PAX si rahisi! Labda iwe India!
Nani amesema ni route moja Geza? Wacha kupotosha watu. Hata sasa hivi phase one ina routes kadhaa. Kuna ya kuelekea Ngong road, kuna ya kuelekea Embakasi, kuna ya kuelekea Thika road. By the time phase two inakamilika basi ile electric rail kutoka airport hadi CBD itakuwa imekamilika. Phase 3 ina involve kujenga njia mbili mbili za reli ili kurahisisha usafiri.
 
Kama unazungumzi ujenzi kama "construction" kama sehemu ya project nzima, hapo ni sahihi kuanzia contractor anapopatikana, lakini tukizungumzia neno " Mradi wa ujenzi wa Bomba la mafuta", basi lazima unaanzia mwanzo ikiwemo feasibility study.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Ujenzi wa Lapsset basi ilianza 2014 kwa sababu hapo ndipo contractor alipoteuliwa. Ndio maana nilikuwa naambia Geza Ulole kuwa jana nilichokora website ya Lapsset project ili kujua ujenzi haswa ulianza lini. Ni wazi kuwa contractor alishinda tender 2014 kwa hivyo kwa lugha ya kawaida, ujenzi ulianza 2014 japo feasibility study ilifanywa 2011. Kwa hivyo ujenzi wa Lapsset umechukua miaka 6 na sio 9.
 
By then lazy Kenyans had this hope! 👇

And now 👇

After 3 weeks of highly confidential negotiations in Arusha

ElRCxUwXEAA42si

MY TAKE
Considering the fact that Tanzania was even not part of COW as was deliberately left out by Kenya that strongly believed, she has bagged the project already, who is laughing all the way to the bank?

I see mama Amina Mohamed as Foreign Affairs CS!

Tanzania, Total sign agreement for East African Crude Oil Pipeline​

TUESDAY OCTOBER 27 2020​

Total+pic.jpg

In Summary

  • The signing followed three weeks of intensive negotiations between senior government technocrats led by the AG and representatives of Total
By Zephania Ubwani @TheCitizenTZ news@tz.nationmedia.com

Arusha. Tanzania and Total oil company yesterday signed an agreement that will pave the way for the construction of a crude oil pipeline from Uganda to the Tanga port.

Implementation of the $3.5 billion East African Crude Oil Pipeline (Eacop) project is scheduled to start in February next year, lasting for three and a half years.

Attorney General Adelardus Kilangi signed the Host Government Agreement (HGA) for Tanzania government while Nicolas Terraz penned for Total oil giant.

“This is an important milestone towards the implementation..it represents yet another successful step in the process,” Prof Kilangi said.

The signing followed three weeks of intensive negotiations between senior government technocrats led by the AG and representatives of Total.

The 1,447 kilometre pipeline will be used for transportation of crude oil from Hoima in Uganda to the Tanga port for export overseas.

Yesterday’s pact with Tanzania followed the initialization of another HGA agreement between Total and Uganda on September 11th after three months of negotiations.

Negotiations for the Tanzanian HGA covered, among others, project authorizations, land rights, local content, health safety and environment and labour standards. “Today’s conclusion is a sign of a conducive environment for investment. Investors should be assured the environment is much more conducive now,” he said.

The pipeline, two thirds of which will pass through Tanzania,will generate at least 10,000 jobs and tax revenue and non-tax revenues amounting to billions of shillings.

Total purchases for the project will cough in Sh1.7 trillion while transportation of goods will generate Sh496 billion and annual salaries Sh294 billion.

The permanent secretary in the ministry of Energy Ms Zena Saidi said the negotiations centred on legal and contractual framework.

“The negotiations were tough but we agreed on conditions under which EACOP) will be built, operated and the local content,” she told an audience at a hotel room.

Mr Terraz, Total’s Head of Africa Division said the negotiations were transparent and that the oil giant will ensure clauses of the agreement were implemented to the letter.

The government team included the Governor of the Central Bank Prof Florens Lugoa, several permanent secretaries, chief executives from the parastatal and the business corporates.

Tanzania and Uganda agreed in March 2016 that a pipeline to transport crude oil from the Lake Albert basin in west Uganda to the markets overseas be routed through the Tanga port. An agreement to the letter was signed by the two neighbouring countries in May 2017 followed by the laying of a foundation stone at the Tanga port by presidents John Pombe Magufuli and Yoweri Kaguta Museveni in August the same year.

EACOP is expected to unlock East Africa’s potential by attracting investors to explore opportunities in the region.
It is projected the project will result to over 60 per cent increase in Foreign Direct Investment (FDI) in Tanzania and Uganda during the construction phase.

CC: Tony254
 
Nani amesema ni route moja Geza? Wacha kupotosha watu. Hata sasa hivi phase one ina routes kadhaa. Kuna ya kuelekea Ngong road, kuna ya kuelekea Embakasi, kuna ya kuelekea Thika road. By the time phase two inakamilika basi ile electric rail kutoka airport hadi CBD itakuwa imekamilika. Phase 3 ina involve kujenga njia mbili mbili za reli ili kurahisisha usafiri.
haya samahani kaka!
 
Phase III loading.....676 buses to be needed for Gongo la Mboto route!

Tony254

Huu mradi utafanya ile kitu wanaita facelift kuanzia mjini mpk ....ninalo bidding document hatari kitu kilichonivutia kwa haraka haraka ni signage kama mbele, traffic lights,taa za barabarani sidewalks na makutano yote.
Amin😍😍😍😍😍.
 
Okay ninakubali kuwa hio route kutoka airport hadi CBD huenda ikawa DMU. Kwani Kenya hatutawahi kuwa na EMU?
I think there is lack of coordination among ur government officials! Yesterday when i saw Lahore metro train, Nairobi Express Highway clicked in my mind right away but i couldn't get the answer why an 11 km viaduct for normal highway and not for metro train!
 
Sasaivi naona komora096 na TYWIN LANNISTER na Yosef Festo ndo bado hawajajua ukweli they still sturbon against truth but i believe truth always prevail its matter of time.
😂😂😂😂mbona kunitaja taja? Ukweli wa Tz uko wazi! Peupe, Dar ni 80% ushuzi settlements, developed area from around the usual three blue buildings ni 10-15% of the whole sq km😂😂😂, the rest makazi yenu ni ushuzi left, right n centre😂😂, economy ni hafifu with a big population making it even worse! (ni kama mzazi mwenye pato kidogo sana na kazaa watoto ishirini!), extreme poverty levels is the highest in East and Southern Africa!., outside Dar no town can be compared to it on anything (only same low life residential look), low class poor looking towns called cities with low class/poor quality residentials kwa wingi., connectivity to electricity less than a quarter yet serikali imesambaza nyaya za stima almost 80% ya nchi😂😂😂., mnajenga sgr ya umeme, Tz iko na ka brt in Dar, bridges, ka flyover na ka three level (all only in Dar)zinafanya mdhani mmefika😂😂😂., punguani nyie😂😂😂, economic output na revenue collection not sufficient to meet national budget demands fully😂😂😂 lakini kazi yote ni "kwa pesa za ndani"., 😂😂😂😂 naikubali hiyo tz yako kwasababu naifahamu vizuri sana😂😂😂 nimetii kaka!., usiwe na wasi wasi.
 
Back
Top Bottom