TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Hatuna?? WaooHiyo Aswan dam itapata maji toka wapi kama Ethiopia wataendelea kujaza hilo bwawa lao?.
Kuhusu Ethiopia kulishambulia Aswan dam, Ethiopia haina uwezo wa kupiga sehemu yoyote ndani ya Egypt, ni sawa na kusema Tanzania tuna uwezo wa kulipua Victoria Falls, hatuna ndege wala Ballistic missiles zenye uwezo za kufika huko.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
