kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
Mwanza uswazi tu,unacheka ukijua hivonimecheka sana ๐๐๐๐
Mwanza uswazi tu,unacheka ukijua hivonimecheka sana ๐๐๐๐
so gorofa moja tu unapost kweli??๐๐
Kwani we ulipost ngapi,poor you,battle imekuwa motoso gorofa moja tu unapost kweli??๐๐
Kwani kuna ubaya gani kwenye hio picha? Mombasa imeendelea hata kushinda hio Mwanza unayoringa nayo. Mwanza ina port? Airport ya Mwanza inabeba abiria wangapi? Mwanza ina bridge ngapi? Mwanza ina hoteli 4 star au 5 star ngapi? Usilinganishe Mombasa na uharo wenu wa Mwanza. Okay?this is what ur posting pamoja na filter laki moja lakini mambo ni haya๐๐๐๐๐
View attachment 1612261
suburb imekutoa makamasi ๐๐๐๐Kwani we ulipost ngapi,poor you,battle imekuwa moto
Wivuu,mwanza uko na design gani nzuri kuliko hiiDesigning is not building! Any idiot can design!
Nani kajenga hii ugly building ? Lazma a Kenyan company! Juakali style!
![]()
bro acha ujinga basi just be serious mm mombasa hakuna kitu utanidanganya, mombasa ina port kubwa kwasababu iko baharini mbona kma huna akili vileKwani kuna ubaya gani kwenye hio picha? Mombasa imeendelea hata kushinda hio Mwanza unayoringa nayo. Mwanza ina port? Airport ya Mwanza inabeba abiria wangapi? Mwanza ina bridge ngapi? Mwanza ina hoteli 4 star au 5 star ngapi? Usilinganishe Mombasa na uharo wenu wa Mwanza. Okay?
just one pic is enough๐๐๐๐๐I knew utaleta hii,kuficha haya,lakini Mombasa ni baba yao
View attachment 1612272View attachment 1612273View attachment 1612274
Wacha panganga nyingi,post zote mpaka uswazi wa mwanza tuona ukiweza mombasasuburb imekutoa makamasi ๐๐๐๐
uhehehehhehehehehehehrhhehe mwenzio kakimbia jana ๐๐๐๐๐๐๐ na hutaskia anaiongelea tena mwanzaWacha panganga nyingi,post zote mpaka uswazi wa mwanza tuona ukiweza mombasa
huku utakumbia wewe tu ๐๐๐๐๐๐Wacha panganga nyingi,post zote mpaka uswazi wa mwanza tuona ukiweza mombasa
uhehehehhehehehehehehrhhehe mwenzio kakimbia jana ๐๐๐๐๐๐๐ na hutaskia anaiongelea tena mwanza
uahahhahahaha ๐๐๐๐ umeona tofaut ya hzi picha zako na zangu hope umeelewa
nimekurushu upost na hotels zikusaidie pia ๐๐๐๐๐Usiingize watu wengine hapa,nataka kuona mwanza ikichapa mombasa peupe
nimekuruhusu uingize na hotels pia zikusaidie ๐๐๐๐๐๐๐ manake usije sema umeonewaUsiingize watu wengine hapa,nataka kuona mwanza ikichapa mombasa peupe
Sio mv Victoria bwana usitutie gundu! Mv Victoria IPO na inafanya kazi.Vipi uwezo wetu wa uokoaji kama Meli ikipata tatizo hata tu ikishika moto majini? MV Viktoria nakumbuka walikuja Makaburu kutoka AK, ile ya Zanzibar iliyozama mita chache ktk ufukweni walikuja Makaburu pia, je tumesharekebisha hilo? Kwa maoni yangu kama bado ni vizuri tukawekeza hapo kwanza kabla ya kuendelea kujaza meli, ...
Malaika Hotel MwanzaKwani kuna ubaya gani kwenye hio picha? Mombasa imeendelea hata kushinda hio Mwanza unayoringa nayo. Mwanza ina port? Airport ya Mwanza inabeba abiria wangapi? Mwanza ina bridge ngapi? Mwanza ina hoteli 4 star au 5 star ngapi? Usilinganishe Mombasa na uharo wenu wa Mwanza. Okay?
Bado sanahuku utakumbia wewe tu ๐๐๐๐๐๐View attachment 1612320View attachment 1612321View attachment 1612322View attachment 1612323View attachment 1612324View attachment 1612325View attachment 1612326
naona ushaanza kurudia picha nimekwambia post na hoteli zikusaidie๐๐๐๐๐๐๐๐