Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maskini[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata haina haja
hapa panitwa nera mwanza way to kirumba👇👇👇👇
CA583A56-483C-492A-BE73-42438A83B9E5.jpeg
 
dawa imeingia vyema [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23]
Siweizi ishindanisha mombasa na places km hzo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mabati rollings si wana wateja sana mwanza..
Yani kabisa na wewe unajikuta umeleta suburbs za kishua kabisa[emoji24][emoji24][emoji24]
 
post nyali unafkiri utapost sehemu gani zaidi ya nyali??😂😂😂😂 na huko ndio matajiri wote wa mombasa wapo huko unafkiri utapost nn zaidi???
 
post nyali unafkiri utapost sehemu gani zaidi ya nyali??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huko ndio matajiri wote wa mombasa wapo huko unafkiri utapost nn zaidi???
Nyali ina host nyumba karibia za matajiri kutoka maeneo tofauti kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Hko hta achana nako..
Ila kw mitaa hyo zii dogo
 
Siweizi ishindanisha mombasa na places km hzo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mabati rollings si wana wateja sana mwanza..
Yani kabisa na wewe unajikuta umeleta suburbs za kishua kabisa[emoji24][emoji24][emoji24]
ukiskia capripoint ni fire👇👇👇
angalia nyumba zilivotundikwa juu ya milima alaf ndio uongee sasa
37C87D74-91C6-46A5-99C1-DB7682A0F8E5.jpeg
B123CD2C-4418-4C5E-9895-736545E92FC3.jpeg
 
Nyali ina host nyumba karibia za matajiri kutoka maeneo tofauti kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Hko hta achana nako..
Ila kw mitaa hyo zii dogo
so matajiri wa mombasa wanakaa wapi????

nyali kuna hotels za watalii na nyumba za matajiri sasa unataka kunidanganya mm au
ww turudi huko kwenye mabanda ya nguruwe 😂😂😂😂😂
 
so matajiri wa mombasa wanakaa wapi????

nyali kuna hotels za watalii na nyumba za matajiri sasa unataka kunidanganya mm au
ww turudi huko kwenye mabanda ya nguruwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matajiri mombasa eti wanakaa wapi[emoji23][emoji23]
Jamani ujuaji utakumaliza mzee baba

Hotels za watalii zipo wapi vile tena[emoji23][emoji23]
Kaa ukiuluza jamani
 
Matajiri mombasa eti wanakaa wapi[emoji23][emoji23]
Jamani ujuaji utakumaliza mzee baba

Hotels za watalii zipo wapi vile tena[emoji23][emoji23]
Kaa ukiuluza jamani
marina iko wapi???😂😂😂 unajifanya umechanganyikiwa au ni hotel ya masikini wa slums
 
marina iko wapi???[emoji23][emoji23][emoji23] unajifanya umechanganyikiwa au ni hotel ya masikini wa slums
Icho jamani, kweli unajua tofauti ya nyali constituency na nyali..
Ndio nimekwambia acha ujuaji mombasa huijui, marina ni ukivuka bridge tu kw sisi watu wa kisiwani..

Hata soko la kongowea lipo nyali lkn sokoni sio nyali[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom