ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
au unataka appartments 😂😂😂😂
au unataka appartments 😂😂😂😂
nilikua nawaambia mwanza ni mji uliojengwa kisasa sana huwez fananisha na mji uko vile vile miaka 200😁😁😁
BarbarosaSio mv Victoria bwana usitutie gundu! Mv Victoria IPO na inafanya kazi.
Watu wanachanganya Sana. Mv bukoba ndo ilizama ( na so far hakuna Ajali kama hiyo Africa nzima RIP)
aliekudanganya nani huyo👇👇👇👇Barbarosa
Geza Ulole
Halafu meli zenu hazina life boats. Yaani hii ni kutoheshimu maisha ya binadamu. Yaani nyie Wabongo serikali yenu inawachukua kama mbuzi hivi. Yaani mkizama hakuna shida. Life boats ni lazima katika meli inayobeba watu wengi kwenye masafa marefu. Kama MV bukoba ingekuwa na lifeboats basi mngeokoa maisha sana. RIP
Tazama lifeboats katika cruise ship.
View attachment 1612360
Na kwenye airport utatoa excuse gani?bro acha ujinga basi just be serious mm mombasa hakuna kitu utanidanganya, mombasa ina port kubwa kwasababu iko baharini mbona kma huna akili vile
kwnye subrub mwenzio kakiri na kukimbia mbio😂😂😂😂😂😂
Kwa nini MV Bukoba haikuwa nayo? Ama mlijifunza baada ya janga hilo kutokea?aliekudanganya nani huyo👇👇👇👇
View attachment 1612361
Huwaoni tena anakuja na issue ya lifejacket.nilikua nawaambia mwanza ni mji uliojengwa kisasa sana huwez fananisha na mji uko vile vile miaka 200😁😁😁
Hebu acha basis ujinga.Kwa nini MV Bukoba haikuwa nayo? Ama mlijifunza baada ya janga hilo kutokea?
Hio ni apartment si hoteli,itabidi utembee ujionee apartment classic,Tz hakuna chochotenaona ushaanza kurudia picha nimekwambia post na hoteli zikusaidie😂😂😂👇👇👇👇👇
View attachment 1612351
Unajiaibisha kijana.
Aibu ni kwakoUnajiaibisha kijana.
Ukiwaona humu wakijisifu ssKusema kweli Kenya ina upungufu wa wajenzi mahiri!

Hiyo ilikuwa zamani.(1996) na imekuwa fundisho.Barbarosa
Geza Ulole
Halafu meli zenu hazina life boats. Yaani hii ni kutoheshimu maisha ya binadamu. Yaani nyie Wabongo serikali yenu inawachukua kama mbuzi hivi. Yaani mkizama hakuna shida. Life boats ni lazima katika meli inayobeba watu wengi kwenye masafa marefu. Kama MV bukoba ingekuwa na lifeboats basi mngeokoa maisha sana. RIP
Tazama lifeboats katika cruise ship.
View attachment 1612360
Napenda mkunya akipanic km hv manaWe babaikia wanaume tu, utalaliwa we bwege..
Kumbe yani mpka mnatumiana mijipicha tayri, sasa hapo uarabu umekujaje au mmoja analalia

inakuwa imegonga mfupa 

Mbn unaongea mambo ya kitoto hv.Barbarosa
Geza Ulole
Halafu meli zenu hazina life boats. Yaani hii ni kutoheshimu maisha ya binadamu. Yaani nyie Wabongo serikali yenu inawachukua kama mbuzi hivi. Yaani mkizama hakuna shida. Life boats ni lazima katika meli inayobeba watu wengi kwenye masafa marefu. Kama MV bukoba ingekuwa na lifeboats basi mngeokoa maisha sana. RIP
Tazama lifeboats katika cruise ship.
View attachment 1612360
mwanza airport is underconstruction au hilo hulijui 👇👇👇👇Na kwenye airport utatoa excuse gani?