Downtown wana KICC na Times Tower, vitower viwili vya miaka ya sabini, halafu ana audacity ya kuja kusema DAR tower mbili,Upper hill wana Tower mbili pia zilizokamilika UAP na KCB, hiyo Britam ni topped out tu , sijui huwa wanahesabu na mashimo ya misingi na macrane? 😀😀😀😀😀
Jiji ambalo bado linatembelea kichwa kila kitu wamewamchia tu mungu, no proper public transport system, kitu basic wanakosa kabisa halafu unadai ni international city, unashindana na DAR Mnaita ni LCD kila siku, Hivi unajishindana na mtu unayemwaita wa chini we huko gorofani kuna wapangaji kweli? (kichwani)😀😀😀😀😛😛😛😛
Ni aibu kwa kweli. kwa arrogance yao, size yao ni SINGAPORE na SEOUL, angalia walipo wenzao sasa hivi na wenyewe. wamebakishwa na DAR 😀😀😀😀 Wanapumulia machine, haha.