Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani wakenya local aviation industry wako vizuri kutokana na shirika lao la Kenya airways kuwa active long time so lazima wawe vizuri ukiwaringanisha na cc. Cc tunawasubiri kwenye SGR of bullet train lazima tununiane hapa, nina amini hii thread haiwezi kufa.
Hata aviation wakae mkao wakula maana kampuni yenyewe ndege za kulease na bado wanaendesha kwa hasara leo takriban miaka minne......na huku tanzanua tukiongeza direct flights with other companies huku air tanzania ikinyayuka kwa haraka😀😀😀😀😀
Kwenye SGR hapo lazma tununiane tu hakuna namna😀😀😀
 
Hawakujua mambo yamebadilika now is 2017
Chakushangaza sasa wao ndio wananunua bidhaa kutoka tanzania, ulichosema ni sawa kama hawakuendelea wakat ule hawataendelea kamwe na uganda anakuja wakae tayari tayari.....
Ule muda wa kujiona superior umeisha na sasa ni kazi tu
Kazi juu YA kazi... Maana bongo land hatuko kupendelea maendeleo YA sehemu moja kama ndugu zetu wanavyofanya Kila kitu Nairobi... Ila hukuu kwetu Kila sehemu panapata hadhi yake nzuri.... Nendaa Arusha, Tanga, Moshi, mwanza, mbeya, Zanzibar, dodoma, njoo Dar nadhani wataelewa tunachosema nchi nzima inapata development.... Hawaa jamaa zetu Kila kitu kimekaa sehemu moja... Nairobi... Kaskazini kwao ni Jangwaaa.. Hawajui wapafanyie nn[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna screen shot umegoogle density na ukainsist....Leo ata ufanyaje umeprovia wasee wengi vile we ni mjinga
Niligoogle kukuletea wewe ulieniambia ni google density ila ukweli ndugu hautabadilika...jibu ni
Dar urban city 1590.4 km sq
Nairobi 696 km sq
Msa 113 km sq
Utaendelea na zingine kujaza
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kazi juu YA kazi... Maana bongo land hatuko kupendelea maendeleo YA sehemu moja kama ndugu zetu wanavyofanya Kila kitu Nairobi... Ila hukuu kwetu Kila sehemu panapata hadhi yake nzuri.... Nendaa Arusha, Tanga, Moshi, mwanza, mbeya, Zanzibar, dodoma, njoo Dar nadhani wataelewa tunachosema nchi nzima inapata development.... Hawaa jamaa zetu Kila kitu kimekaa sehemu moja... Nairobi... Kaskazini kwao ni Jangwaaa.. Hawajui wapafanyie nn[emoji23][emoji23][emoji23]
Viwanda asili 90 vya kenya viko nairobi lakin tanzania viwanda kila mkoa unasheheni viwanda tena bila upendeleo.....juzi kati walitaka kuringanisha zenj na lamu au diani hahhahaha walikubali mziki nikawaambia changanyeni na mombasa muletee hakuonekana mtu.......
Kitu kinachowaharibia hawa ni dharau na yote kwasababu wao hujiona superior😀😀😀😀
 
Good night all Kenyans and Tanzanians... Leo nmefurahia kunasa mjinga anajiita ichoboy
Utanasa wapi maneno mengi ya nn unashindwa kujitetea kuhusu urban city area hii kitu inakushinda kweli.......😀😀😀😀😀😀😀😀😀
20170620_212736.png

20170621_060136.png

20170621_060833.jpg
 
Hawakujua mambo yamebadilika now is 2017
Chakushangaza sasa wao ndio wananunua bidhaa kutoka tanzania, ulichosema ni sawa kama hawakuendelea wakat ule hawataendelea kamwe na uganda anakuja wakae tayari tayari.....
Ule muda wa kujiona superior umeisha na sasa ni kazi tu
Hebu nitajie izo bidhaa tafadhali
 
Kazi juu YA kazi... Maana bongo land hatuko kupendelea maendeleo YA sehemu moja kama ndugu zetu wanavyofanya Kila kitu Nairobi... Ila hukuu kwetu Kila sehemu panapata hadhi yake nzuri.... Nendaa Arusha, Tanga, Moshi, mwanza, mbeya, Zanzibar, dodoma, njoo Dar nadhani wataelewa tunachosema nchi nzima inapata development.... Hawaa jamaa zetu Kila kitu kimekaa sehemu moja... Nairobi... Kaskazini kwao ni Jangwaaa.. Hawajui wapafanyie nn[emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha. .....ate whaatttt....????????
 
They say that they will overtake us but we keep widening the gap.....hata wakenya wote wakiamua kuenda usingizi 5 years hakuna kitu wanaweza fanya......they had that chance in 2007 when Kenya burnt to ashes and recorded negative growth for 5 good years. Tanzanians just do your stuff without thinking about this overtaking nonsense coz mtakufa na stress.
 
Back
Top Bottom