Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna sijui ghorofa mingi squeezed zimepakwa rangi, ona vile each building is unique sio kama zile zenu mingi za kufanana. Hii mchezo hatujaanza jana kama nyinyi, respect your elders, nyi bado ni upcoming.
N.jpg
 
Hiyo ni CBD na The Overrated Upperhill yenye UAP, Britam, KCB na Prism.

Huko Westland Bado Hamna kitu hizo cranes zitatengenza kitu cha maana baadae.

So Kama alivyosema jamaa. Ni kweli. Kuna ile picha mi baada ya kuiona Ndio hata siamini hata Kama mmpepata picha ya angle nzuri kiasi gani.
ujue nimehesabu zipo ghorofa 20 kama na kitu na vile vibanda
 
Sasa nyinyi wenye tower mbili cbd...na njee ya cbd ni slums una guts ya kubonga hapa

DAR ya Tower mbili unajua wewe tuu, there is another place that will put your overrated Upper hill yenye minyaya ya umeme kama wavu wa samaki na buibui chini ya the tallest tower? BRITAM to shame. Eti Upper hill inajengwa kwa international standards? hata walkways hamna, international standards za wapi.

Upcoming Kijitonyama District by indaressalaam, on Flickr

Upcoming Kijitonyama District by indaressalaam, on Flickr


Keep telling yourself Dar ni tower mbili tu.
 
ujue nimehesabu zipo ghorofa 20 kama na kitu na vile vibanda
Downtown wana KICC na Times Tower, vitower viwili vya miaka ya sabini, halafu ana audacity ya kuja kusema DAR tower mbili,Upper hill wana Tower mbili pia zilizokamilika UAP na KCB, hiyo Britam ni topped out tu , sijui huwa wanahesabu na mashimo ya misingi na macrane? 😀😀😀😀😀

Jiji ambalo bado linatembelea kichwa kila kitu wamewamchia tu mungu, no proper public transport system, kitu basic wanakosa kabisa halafu unadai ni international city, unashindana na DAR Mnaita ni LCD kila siku, Hivi unajishindana na mtu unayemwaita wa chini we huko gorofani kuna wapangaji kweli? (kichwani)😀😀😀😀😛😛😛😛

Ni aibu kwa kweli. kwa arrogance yao, size yao ni SINGAPORE na SEOUL, angalia walipo wenzao sasa hivi na wenyewe. wamebakishwa na DAR 😀😀😀😀 Wanapumulia machine, haha.
 
Downtown wana KCC na Times Tower, vitower viwiki vya miaka ya sabini, halafu ana audacity ya kuja kusema DAR tower mbili,Upper hili wana Tower mbili pia zilizokamilika UAP na KCB, hiyo Britam ni topped out tu , sijui huwa wanahesabu na mashimo ya msingi na macrane? 😀😀😀😀😀

Jiji ambalo bado linatembelea kichwa kila kitu wamewamchia tu mungu, no proper public transport system, kitu basic wanakosa kabisa halafu unadai ni international city, unashindana na DAR Mnaita na LCD kila siku, Hivi unajishindana na mtu unayemwaita wa chini we huko gorofani kuna wapangaji kweli? (kichwani)😀😀😀😀😛😛😛😛

Ni aibu kwa kweli. kwa arrogance yao, size yao ni SINGAPORE na SOUL, angalia walipo wenzao sasa hivi na wenyewe. wamebakishwa na DAR 😀😀😀😀 Wanapumulia machine, haha.
You are very shallow and so wrong. Hata kile unaandika hujui ety KCC na SOUL.
 
Hakuna sijui ghorofa mingi squeezed zimepakwa rangi, ona vile each building is unique sio kama zile zenu mingi za kufanana. Hii mchezo hatujaanza jana kama nyinyi, respect your elders, nyi bado ni upcoming. View attachment 527442
Honestly nairobi has got no tower at all,claiming dar has two tower while you have none doesn't make sense!!
Most of Nai is empty plots which makes city looks like town ,not city ,no density!!
Have a look at this
a0771da1befe98d3d993feea441db3b4.jpg
That is upanga daresalam...it's crowded with modern building and has taste of city
 
Honestly nairobi has got no tower at all,claiming dar has two tower while you have none doesn't make sense!!
Most of Nai is empty plots which makes city looks like town ,not city ,no density!!
Have a look at this
a0771da1befe98d3d993feea441db3b4.jpg
That is upanga daresalam...it's crowded with modern building and has taste of city
So you mean this are not towers?
N3.jpg
 
Back
Top Bottom