Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usijifanye kubadilisha mada huendi kokote uliuliza wapi conference ya Tanzania kama hii tukakuonesha conference center ukakimbia huko ukaja na hoja ya taa, unahangaika kama mtoto mdogo....dar inakuendesha mbio mbio....punguza speed utaugua
Makubwa hayo
 
Nafkiri towers 2 zisingewakimbiza kwenye over 20 floors😀😀😀😀😀😀😀😀
Wa Kenya ukiwaambia floor hawapendi sana wanataka meters maana majengo ya Kenya yote yana antenna juu to make them tall with meters unakuta britam half of the building ni antenna

Ndio maana nikawauliza Nina jengo LA gorofa moja nataka kuweka antenna ndefu kwa Kenya nitakuwa kwenye list ya majengo marefu
 
Hawana hoja floors na slums ni sumu kwao😀😀😀😀
 
Umewaskia wapi wakitumia floors Ku measure height ya tower??? Metres,feet ndio zinatumika...jengo ka I&M Nairobi ni over 100m but 18 floors....muendelee kutuonyesha ujinga
 
Hawana hoja floors na slums ni sumu kwao😀😀😀😀
You made my day.....density kuelewa shida
58e9fb11698ed4ee1a4f6e6bb2e0ec96.jpg
 
Back
Top Bottom