Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Wale wa super highways, hiki ni nini? Ni ukosefu wa concrete ama?
Naona barabara za Kenya huwa zinakukosesha usingizi. Kila siku lazima uingie kwenye hii twitter account.
Wale wa super highways, hiki ni nini? Ni ukosefu wa concrete ama?
Naona barabara za Kenya huwa zinakukosesha usingizi. Kila siku lazima uingie kwenye hii twitter account.
Magu mapema kabisa wakati anaingia aliwaambia mifuko ya hifadhi ya jamii wafanye hv, nadhani Magu anajua kwamba tukishajenga viwanda vingi zen maghorofa ya adabu ni unavoidable.Nikiona kama hivi nafurahi..sana..Ajira kama 3000 direct na over 7000 indirect..hapa pssf nimeona wamepiga project ya maana ..kuliko yale ma towers..above all wameinvest chini ya Billion 100..
Plus kita produce
Viatu
Mabegi
Soles
Belts etc
1 .2 million shoes a year ..pata picha average wauze 5$ per shoe which is so low ..ukiangalia kuna mi boots inauzwaga hata 20-50$..thats over 6mil usd in revenues..View attachment 1608416
Dah aisee
Hizi nyumba aheri ya vichuguu vya mchwa ni imara kuliko Haya majagaZingine hizi hapa, hawa jamaa wako rough sn![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 1607800View attachment 1607801View attachment 1607807View attachment 1607808![]()
Zingine hizi hapa, hawa jamaa wako rough snView attachment 1607800View attachment 1607801View attachment 1607807View attachment 1607808
ndo maana yake!Raila kavaa sare za Ccm kuunga mkono rafiki yake jpm, hizi in diplomasia za aina yake
.
Hizi nyumba aheri ya vichuguu vya mchwa ni imara kuliko Haya majaga
Hizi aibu nyingine
VS
![]()

,hii kununua basi na kutangaza sijui tuseme nini?


Mtangazaji anadai linabeba watu 60! Sina uhakika aisee! Nina doubt linaweza likawa la gharama ya kubeba watu 60 na si la uwezo wa kubeba abiria 60! kila kitu Kenya ni poor quality huwezi amini hata zile tourvans zao chasis elongation inafanywa na kampuni za Kitanzania!hawa nguruwe huwa wanatucheka eti rais wetu anazindua vitu vya ajabu ajabu,hii kununua basi na kutangaza sijui tuseme nini?
basi lenyewe sasa![]()
morogoro.. hio picha ya chini ni morena hotel.. iko pale jiran na msamvu
Nyie mpunga umeshaachiliwa huku 😅😅😅😅🙏😭
Gombe International Airport Kigoma
View attachment 1608636View attachment 1608637View attachment 1608638
Wakagera ulipigwa sana, ndio maana end product ikawa ya ajabu kivile, ulikua kwenye pipeline moja na hivi vilivyoachiliwa leo, ila hivi vitakua super zaidi sababu vipo awamu ya mzee baba mwenyewe fundi mkuu 😅Unafanana na ule wa Kagera!
design ni moja ila jengo la Kigoma linakaa kubwa! Hivi ule wa Kagera kuna control tower?Wakagera ulipigwa sana, ndio maana end product ikawa ya ajabu kivile, ulikua kwenye pipeline moja na hivi vilivyoachiliwa leo, ila hivi vitakua super zaidi sababu vipo awamu ya mzee baba mwenyewe fundi mkuu 😅
Yeah, Bukoba hakukuwa na control tower component sababu hata hivyo plan ilikua wajenge uwanja mwingine mkubwa zaidi na walikuwa wameshaanza compensation tayari, Magufuli akawaambia waupanue huo huo mpaka kule ziwani wareclaim kuliko kuingia gharama nyingine kubwa zaidi.design ni moja ila jengo la Kigoma linakaa kubwa! Hivi ule wa Kagera kuna control tower?