Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo 2.7 million ni maneno ya waziri wenu. Kwa hivyo wewe unajua zaidi ya waziri husika?
Hii inshu ya umeme sijui kwanini inakua ngumu kuelewa.
Hii article inasema watumiaji wa umeme wa Rea, narudia tena watumiaji wa umeme wa RURAL ENEGY AGENCY, ndio wameongezeka kutoka 1mil+ to 2mil+ kumbuka hii ni kwa umeme wa rural pekee ambao hata mji mdogo kama wa mpanda haupo hapo sasa ukifanya percent ya household electricity consuption ya rural ambayo kwa sass ni 74% sawa na household 2.7mil ukijumlisha na urban electricity supply ambayo ni 94% sawa na household 5.87mil users unapata nchi nzima ya tanzania ina 84% electric supply to users.

Na hii evidence ni sisi wenyewe mtu ataje ni kijiji gani mwaka huu 2020 ameenda hakuna umeme? Obvious mimi kila kijiji nachotembea watu wana umeme. Na consumption ya tz kukijengwa biwanda itakua kubwa sana kwasababu saivi ni karibu kila raia anaishi kwenye umeme mpka 2023 nadhani tutakua 95%+ ndo mana serikali inaongeza vyanzo vya kufua umeme..

Ivi kwa akili yenu kweli 2.7 mli house hold Tanzania kweeeli?????
Sio rwanda au burundi hapana nitanzania ambayo ina mji mmja una watu 6+m
Mwanza kwa sasa 2.5m+ na miji mingine mingi inazaid ya 1mil populn afu wawe nq watumiaji wa umeme 2.7m chini ya UGANDa. Mh!!!!!
 
Wewe unakoelekea unaenda kuigombanisha English na Kenya
Jamaani kwn hawa watanzania tumewafanya nini wiki hii

Wanachizika vibaya yani..
Walianza na magazeti, tukawakaamata world bank vile vile africa check nayo imewaumbuamanake wame exagerate zaidi
 
Africa checkumetoroka data zetu za 2018 umeenda kw africa check...
Data zenu zipi zaidi ya hizi? 😅😅😅
2590273_IMG_20201015_093737_311.jpg
images - 2020-10-16T044009.639.jpeg
 
Jamaani kwn hawa watanzania tumewafanya nini wiki hii

Wanachizika vibaya yani..
Walianza na magazeti, tukawakaamata world bank vile vile africa check nayo imewaumbuamanake wame exagerate zaidi
Exagerate ndio nini sasa we shenanigan wa mombasani? 😅😅😅

Unaona unavyoanza kutema utopolo mapema hii yote? 😂😂😂
 
Hii inshu ya umeme sijui kwanini inakua ngumu kuelewa.
Hii article inasema watumiaji wa umeme wa Rea, narudia tena watumiaji wa umeme wa RURAL ENEGY AGENCY, ndio wameongezeka kutoka 1mil+ to 2mil+ kumbuka hii ni kwa umeme wa rural pekee ambao hata mji mdogo kama wa mpanda haupo hapo sasa ukifanya percent ya household electricity consuption ya rural ambayo kwa sass ni 74% sawa na household 2.7mil ukijumlisha na urban electricity supply ambayo ni 94% sawa na household 5.87mil users unapata nchi nzima ya tanzania ina 84% electric supply to users.

Na hii evidence ni sisi wenyewe mtu ataje ni kijiji gani mwaka huu 2020 ameenda hakuna umeme? Obvious mimi kila kijiji nachotembea watu wana umeme. Na consumption ya tz kukijengwa biwanda itakua kubwa sana kwasababu saivi ni karibu kila raia anaishi kwenye umeme mpka 2023 nadhani tutakua 95%+ ndo mana serikali inaongeza vyanzo vya kufua umeme..

Ivi kwa akili yenu kweli 2.7 mli house hold Tanzania kweeeli?????
Sio rwanda au burundi hapana nitanzania ambayo ina mji mmja una watu 6+m
Mwanza kwa sasa 2.5m+ na miji mingine mingi inazaid ya 1mil populn afu wawe nq watumiaji wa umeme 2.7m chini ya UGANDa. Mh!!!!!
Tanzania electric connectivity ni 32%
Access to electricity (% of population) - Tanzania | Data
 
Back
Top Bottom