Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaitwa Garrisa Liboi road hyo apo, yn hapo ndiyo wamei tarmac, hehehehehe hawa watu ni wahuni sn [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1602255
Soma Africa Check inavyowaumbua

The most recent figures published in the 2018 Economic Survey show that Kenya had 20,600 km of bitumen roads in 2017. This would mean the length of this type of paved roads has increased by 9,400 km.

In 2016, the agency had the tarmac road network at 14,500 km, suggesting 6,100 km of road was added in just one year. (Note: In the same year the statistics office also has a figure of 11,796 km of tarmac road, published in the 2017 Statistical Abstract.)
 
Hahahaha mapishi yenu ya fake data yanaishangaza dunia nzima wala si mimi tu
Soma hapa ucheke kidogo

Walishawahi kujenga kilometres zaidi 6000 kwa mwaka 1

Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
Angalia hata Afrika check wameshindwa kuwaelewa kabisa, angalia jinsi walivyomaliza kusema [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-10-16-18-36-45.jpeg
 
So kulingana na wewe kutoka 2013 venye tulikuwa na 11,000k of paved roads hadi 2017 hatujajenga hata kilomita moja? Juu kwa hiyo article yako wamesema vizuri kuwa in 2013 we had 11k alafu bado wewe na ujinga yako unasema kuwa in 2017 we still had 11k. Nani mwenye hana akili kati yako na hiyo article yako?
Hahahaha Africa Check ipo kuexpose fraudsters in government and scandals 😂😂😂😂

Yaani imeaniaka uozo wenu wa kufake kilometres za lami hapo au English hujui? 🤣🤣🤣🤣🤣

Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
 
2018 alone tulijenga 1,621km
The most recent figures published in the 2018 Economic Survey show that Kenya had 20,600 km of bitumen roads in 2017. This would mean the length of this type of paved roads has increased by 9,400 km.

In 2016, the agency had the tarmac road network at 14,500 km, suggesting 6,100 km of road was added in just one year. (Note: In the same year the statistics office also has a figure of 11,796 km of tarmac road, published in the 2017 Statistical Abstract.)
tapatalk_1600527821908.jpeg
 
Mmoja uko juu kaweka li article lake cjui kaliokota wp, me nakwambia haya mashirika ya kimataifa yawe makini na statistics from Kenya.
 
Hahahaha ndio maana WB wanasema Kenya ina kilometres 11k za lami, sawa hapo kwenye report ya Africa Check wameonesha namna statistics agencies za Kenya na Jubilee zinavyofake data za lami kishamba [emoji23][emoji23][emoji23]

Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
Aisee leo umewafundisha kitu hawa wakunya kwmb wanaongopewa sn na serikali yao ila yenyewe hayajastuka, serikali ya kenya ni serikali ya kihuni mno sijawahi kuona, mm nilikuwa nailaumu serikali iliyopita kumbe ilikuwa afadhali kuliko hii ya jubilee.
 
Nimeangalia economic survey 2018 na kitu nimepata ni kuwa in 2016-2017, they only built 1,500km of paved roads. Sasa hizo 6,000km hao ndio wanajua penye wameitoa.
Katii [emoji121][emoji121][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaha Soma kwanza kauli mbiu ya Africa Check 'sorting facts from fiction'

Nafikiri jibu unalo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years | Africa Check
Nimeangalia economic survey 2018 na kitu nimepata ni kuwa in 2016-2017, they only built 1,500km of paved roads. Sasa hizo 6,000km hao ndio wanajua penye wameitoa.
Ameshatii mkuu kwmb hakuna uwezekano wa kujenga 10k ndani ya only 2yrs[emoji122][emoji122][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Alafu anavyojikaanga kila mara anabadili badili maneno, Wakenya waongo sn, ss hawa watawasumbua wa Nigeria kule nairaland mana hawawajui ila co WaTz wa Jf [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom