The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Nimeshangaa sana aliposema ati 18k highways, nadhani WaTz mmeona hawa watu, mwanzoni walikuwa wana claim 21k baada ya kubanwa mapumbu yao wamerudi kwenye 18k na wamehangaika ucku kucha.Hahahaha beneficiary on behalf ya wanywa chang'aa wa Jubilee
Mzee pumbunyoo bado zimenaswa kwenye 11k, kubali yaiahe
Hahahaha kwa hiyo saivi mna highway ndefu za kilometers 18K?,
primary, secondary, special service, classified roads zina kilometres ngapi.?![]()
Ss swali dogo la kujiuliza ni kwamba 2017 walikuwa na 11k ambazo wenyewe wamekubali hapa zen 2019 wawe na 21k?
Duuhhh barabara zenyewe ziko wapi mbn hatuoni wakijenga? Bora cc tungeamua kuongopa jamii ingeelewa mana kila kona ni ujenzi ss hawa ombaomba wamejanga lini hizo 10k ndani ya miaka 2? Hivi hapa inahitaji degree kweli kuelewa kwamba hawa watu ni waongo?


