Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,230
- 33,450
Kumbe bado uko area, ebu ziweke hapa tuone.Hahahaha ya kwenda Somalia na Sudan zote ni highways na hazina hata moram 😅😅
Kumbe bado uko area, ebu ziweke hapa tuone.Hahahaha ya kwenda Somalia na Sudan zote ni highways na hazina hata moram 😅😅
Huna unaloweza kusema zaidi ya kubwabwaja hapa, wewe leo unapinga kwamba miji na vijiji vyote vya Kenya havina barabara zenye urefu wa kilometers 500 😅😅😅Nitajie kitu nimedanganya hapo tuanze one by one.
Hile pesa tuliwapea mjenge nazo hospitali mlizitumia vizuri?Labda mje mkope Tz cz cc tunajua nyie ni watoto wetu but kwa beberu mnaenda kuwa hamkopesheki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ulianza kwa mioto lakini mwishowe ukakibali Kenya tarmacked roads ni 21,000km. I like your spirit.Huna unaloweza kusema zaidi ya kubwabwaja hapa, wewe leo unapinga kwamba miji na vijiji vyote vya Kenya havina barabara zenye urefu wa kilometers 500 😅😅😅
Asante kwa hii takwimu mpya
Umesema barabara zote za mijini na vijijini Kenya zianza kujengwa 2018 😅😅😅😅Kumbe bado uko area, ebu ziweke hapa tuone.
6,000km tarmacked roads in Tanzania.Yani leo kazi unayo, angalia Jubilee inachosema kwamba tangu mwaka 2013 ilipanga kujenga km10k mpya za lami by 2022 na huyo CS wenu anasema funds were not enough.
Ss leo hii 2020 tayari unasema mna 21k mmezitoa wapi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kenya: Over 90% of Roads Are Not Tarmacked, Report ShowsView attachment 1602205
Utakaa sanaUlianza kwa mioto lakini mwishowe ukakibali Kenya tarmacked roads ni 21,000km. I like your spirit.
Do you know the meaning of rural, have you ever be in seicheles?? these people have no rural areas my friend, and their total popln is less than 1 street in dar es salaam. In short seicheles is europe in africa every thing they have is incomparable but that is according to my observation.Nani alifanya ranking? Which position was South Africa that has a 91% connectivity rate? What about Seicheles which also have a 100% connectivity rate? Ama they were disqualified from the ranking? 🤣 🤣 🤣
Usilie broh, 21,000km sio idadi kubwa vile. This year tutachapa 24k km.Umesema barabara zote za mijini na vijijini Kenya zianza kujengwa 2018 😅😅😅😅
Hivi wewe mbung'o zimo kweli?
Asante kwa kuja [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Hapa ni Tanzania wacha ujinga.
Kwa hiyo list Seychelles pekee ndio umeona? Mbona hujaongelea South Africa? Mbona hujaongelea Egypt?Do you know the meaning of rural, have you ever be in seicheles?? these people have no rural areas my friend, and their total popln is less than 1 street in dar es salaam. In short seicheles is europe in africa every thing they have is incomparable but that is according to my observation.
Msikilize kiongozi wako akiongea [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Usilie broh, 21,000km sio idadi kubwa vile. This year tutachapa 24k km.
Hivi wewe unajua maana ya Highway kweli? Picha ya kwanza na ya pili ni Highway? Picha ya tatu ni ya 2004.Asante kwa kuja [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1602218View attachment 1602219View attachment 1602220
So ushakubali ni kenya eti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi wewe unajua maana ya Highway kweli? Picha ya kwanza na ya pili ni Highway? Picha ya tatu ni ya 2004.
Msikilize kiongozi wako akiongea [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Kenya: Over 90% of Roads Are Not Tarmacked, Report Shows
Hizo ni Highway?Unajua maana ya Highway wewe?So ushakubali ni kenya eti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mnauwezo wa kujenga zaidi ya 1k km kwa mwaka?labda mkope kila nyumbaUsilie broh, 21,000km sio idadi kubwa vile. This year tutachapa 24k km.
Unajisikiaje mpk ss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizo ni Highway?Unajua maana ya Highway wewe?