Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe kweli mbumbumbu. You can have access to electricity but you are not connected. Here we are more concerned about the total number of people CONNECTED to electricity, sio watu wanaoona nguzo za stima zikipita kilometer kumi kutoka waliko ila hawatumii umeme majumbani mwao. Tanzania mko na watu 2mln wanaotumia umeme ila Kenya kuna watu 6mln. Huoni kwamba argument yako ni ya kijinga?
umesha zidisha kwa watu wanaoishi kwenye nyumba ukapata idadi kamili au ikiambiwa nyumba million mbili na laki saba unajua kila nyumba moja anaishi mtu mmoja au akili huna wewe😂😂😂😂

tuchukulie gorofa moja lina floor 10 na wanaishia watu 60 humo ndani hao idadi yao imejumlishwa???

shulenu hua munasoma nn nyinyi
 
ww hua nakwambia akili yako hata IQ yako inaonesha iko chini sana katika ufahamu 😂😂

2.7 million customers na mtu mmoja anaemiliki gora lenya 15 floors kuna appartments ngapi na kuna watu wangapi ndani yake

mbona ni akili ndogo tu yakutumia na ushaambia kila household moja ina watu 6 so take calculatuon and know how many people 😂😂😂
 
Kingine villages connection ipo chini ya REA ule umeme wa bei rahisi! Connection ya urban n periurban haijawa counted kwenye hiyo 2.7mln households!
 
2.7 connections not people

Ukitaka roughly kupata how many people you have to multiply by the size of households in TZ which is 6people per Household..

That's makes an estimated total of 2.7mx6 Tanzanians connected to electricity. Ni kweli huelewi au you are distorting the facts by way of misinterpretation!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hivyo hata sisi pia tuweke 5.9mlnx6? Vijisababu na visingizio hamkosangi!
 
yani hata nawashangaa akili zao hawa watu 😂😂😂😂😂 REA one mpak three ni kitu kingine kinajitegemea
 
Kwa hivyo hata sisi pia tuweke 5.9mlnx6? Vijisababu na visingizio hamkosangi!
Hapana ninyi tumieni hii 😁😁😁

Tukiwaambia Kenya ni Nairobi tu mnajamba 🤣🤣

images - 2020-10-16T043821.318.jpeg
 
umesha zidisha kwa watu wanaoishi kwenye nyumba ukapata idadi kamili au ikiambiwa nyumba million mbili na laki saba unajua kila nyumba moja anaishi mtu mmoja au akili huna wewe😂😂😂😂

tuchukulie gorofa moja lina floor 10 na wanaishia watu 60 humo ndani hao idadi yao imejumlishwa???

shulenu hua munasoma nn nyinyi
Na sisi tukianza kupiga hizi hesabu zenu za saint kayumba preparatory na ile figure yetu ya 5.9 million itakuwaje? Si mnaona mlivyo wajinga sasa!!
 
2.7 connections not people

Ukitaka roughly kupata how many people you have to multiply by the size of households in TZ which is 6people per Household..

That's makes an estimated total of 2.7mx6 Tanzanians connected to electricity. Ni kweli huelewi au you are distorting the facts by way of misinterpretation!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
I said 2.7 million customers which are the same as 2.7 million households. If I go with your estimation of the number of people per household, then the total number of households in Tanzania is 56 /6. That brings about 9 million households in the entire country. So according to you, 2.7 million of 9 million ni 84%? 🤣 🤣 🤣
If I can trust my maths I think that will be:
If 9 million = 100%
What of 2.7 million= ?

2.7/9*100 =30%

So your electricity connectivity rate is 30%
 
The smart ones know where they belong, nikutapa tapa tu imebaki😂😉😂😂 ngoja uone escape mechanisms watakuja nazo😂😂😉😂😂 idiots ni wengi balaa😂😉😂hii jf imekua entertainment joint.
 
umesha zidisha kwa watu wanaoishi kwenye nyumba ukapata idadi kamili au ikiambiwa nyumba million mbili na laki saba unajua kila nyumba moja anaishi mtu mmoja au akili huna wewe😂😂😂😂

tuchukulie gorofa moja lina floor 10 na wanaishia watu 60 humo ndani hao idadi yao imejumlishwa???

shulenu hua munasoma nn nyinyi
Wewe unajua maana ya household kweli? In that 10 floors highrise every occupied inhabitable house is being counted as household. So hao watu 60 maybe wanaishi kwa nyumba sita tu kwa hiyo gorofa which brings the number of households to 6. Sasa shirika la umeme watasema kuwa they have six custumers kwa hiyo gorofa na sio 60. Hope umenielewa vizuri.
 
The smart ones know where they belong, nikutapa tapa tu imebaki😂😉😂😂 ngoja uone escape mechanisms watakuja nazo😂😂😉😂😂 idiots ni wengi balaa😂😉😂hii jf imekua entertainment joint.
World Bank sio wajinga wakisema kuwa Tanzanian connectivity rate ni 32% 🤣 🤣 🤣 .
 
Na sisi tukianza kupiga hizi hesabu zenu za saint kayumba preparatory na ile figure yetu ya 5.9 million itakuwaje? Si mnaona mlivyo wajinga sasa!!
Achana na hao, nishawapigia hesabu legit nikapata 30%. Nangoja mwenye atakuja kupinga
 
Back
Top Bottom