Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Dah! Mzigo wa kilo 300 daily si haba, Tanzania tumechelewa kuwa na ndege ya mizigo, lake zone kuna potential kubwa sana ndio maana Ethiopian ameenda huko.
Dogo wacha mchezo. Hebu tazama coastline ya somalia. Hapo chini ambapo coastline ya somalia imewacha kuingia ndani na kuanza kuchange angle ya kuteremka ni Kenya sio Tanzania. Nikikuita mjinga nitakuwa nimekosea? Kimsingi hapo chini ya Somalia ni Kenya na Tanzania combined. Malindi, Mombasa, Kwale, na maeneo ya TZ ambayo yamepakana na Kenya upande wa Indian ocean. Tanga, Moshi, Arusha na Dar. Halafu ndani ya Kenya kuna dot imewaka ajabu. Hio ni Nairobi.Hebu tuache uzalendo wa kijinga angalia hapo chini huoni Tanzaniania iko wapi na kenya iko wapi? Cc huwa tunaleta credible sources tofauti na nyie, angalia vile giza inameza kenyaView attachment 1601955




Dah! Mzigo wa kilo 300 daily si haba, Tanzania tumechelewa kuwa na ndege ya mizigo, lake zone kuna potential kubwa sana ndio maana Ethiopian ameenda huko.
Kulingana na minister wenu bali sio kulingana na official sources.Na hapa waki update hii itakuwa ni aibu kubwa cz Tz inaongoza Afrika kwa ss ku electrify rural areas, yn mtake ndo hvyo mctake ndo hvyo.
wakenya wanaishia kuchungulia tu,,,,kazi yao ni kujenga nairobi pekeeKwani hawezi kuongea kistaarabu Au alitaka ilo soko lijengwe na nani sasa![]()



Tony haya madude yote ya nn kwn we huoni hapo kwa hii ramani kwmb umeme unawaka nairobi pekee? Nilidhani labda useme tume edit kitu ambacho cc hatuwezi fanya kamweDogo wacha mchezo. Hebu tazama coastline ya somalia. Hapo chini ambapo coastline ya somalia imewacha kuingia ndani na kuanza kuchange angle ya kuteremka ni Kenya sio Tanzania. Nikikuita mjinga nitakuwa nimekosea? Kimsingi hapo chini ya Somalia ni Kenya na Tanzania combined. Malindi, Mombasa, Kwale, na maeneo ya TZ ambayo yamepakana na Kenya upande wa Indian ocean. Tanga, Moshi, Arusha na Dar. Halafu ndani ya Kenya kuna dot imewaka ajabu. Hio ni Nairobi.View attachment 1601964




MIC ambayo mumeingia miezi mitatu iliyopita?Nyie mpambane na Ug, Burundi, Rwanda na Congo, cc wacha tujaribu kwenda sawa na south Afrika na ndiyo maana unaona tunafanya mambo yanayoendana na Real MIC
Inaumaaa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
The story behind
Masanja Kadogosa kasema operation cost ya electrical SGR ni 1/3 ya diesel SGR kwa umbali sawia! Hapa nimewaonea huruma jirani maana watapelekeshwa kwenye vita ya kupunguza gharama mpaka waseme po! Ikumbukwe mchina anadai na ataendelea kudai chake! malipo ya dhambi ya ubaguzi wa COW tunayaona hapahapa! Hivi Tanzania ingekuwa part of COW hii idea ya superior SGR ingekuwapo kweli? This is blessing in disguise!
Hesabu za wasomi wa Tanzania hizo 😂 😂 😂 😂According to hesabu za waziri wao 16.2 million of 56 million ni 84% 😂 😂
MIC ambayo mumeingia miezi mitatu iliyopita?Nyie mpambane na Ug, Burundi, Rwanda na Congo, cc wacha tujaribu kwenda sawa na south Afrika na ndiyo maana unaona tunafanya mambo yanayoendana na Real MIC
Inaumaaa
![]()
Hata mauritius ni developed kwa sasa wanamiezi 3 tu wako league 1 na Nchi zote zilizoendeleaMIC ambayo mumeingia miezi mitatu iliyopita?
Tatizo co kuingia tatizo ni ku maintain kitu ambacho nyie hamtaweza na amini nakwambia mnarudi ldc soon just wait new report.MIC ambayo mumeingia miezi mitatu iliyopita?
Jikite kwenye facts. Thermal inacontribute less than 15% of Kenya's power generation.Diesel ni very costly, yaani kitendo tu cha kwamba diesel has to be imported tayari unapata picture kwamba ni costly compared to electricity from hydro, from the hydo not fossils generated, sababu Kenya wanatumia fossils generators kuzalisha umeme wao mwingi so hata wangekua na electrified SGR bado ni mulemule.
Huyo mshamba hajui kitu, Tanzania umeme unawaka kuanzia Mtwara mpaka Tanga, wao umeme ni Nairobi habari imeisha 😂😂😂😂Dogo wacha mchezo. Hebu tazama coastline ya somalia. Hapo chini ambapo coastline ya somalia imewacha kuingia ndani na kuanza kuchange angle ya kuteremka ni Kenya sio Tanzania. Nikikuita mjinga nitakuwa nimekosea? Kimsingi hapo chini ya Somalia ni Kenya na Tanzania combined. Malindi, Mombasa, Kwale, na maeneo ya TZ ambayo yamepakana na Kenya upande wa Indian ocean. Tanga, Moshi, Arusha na Dar. Halafu ndani ya Kenya kuna dot imewaka ajabu. Hio ni Nairobi.View attachment 1601964
Diesel ni very costly, yaani kitendo tu cha kwamba diesel has to be imported tayari unapata picture kwamba ni costly compared to electricity from hydro, from the hydo not fossils generated, sababu Kenya wanatumia fossils generators kuzalisha umeme wao mwingi so hata wangekua na electrified SGR bado ni mulemule.
Gni per capita ndicho kigezo kinachoamua nani anarudi Ldc na nani anabaki Mic. Sudan wamerudi Ldc miezi mitatu iliyopita. Sisi tuna Gni per kubwa kuwashinda kwa hivyo ninyi ndio mtarudi Ldc kwanza kabla yetu.Tatizo co kuingia tatizo ni ku maintain kitu ambacho nyie hamtaweza na amini nakwambia mnarudi ldc soon just wait new report.
Ndege inakuja tena kwa haraka, hilo sina mashaka nalo. Biashara ni kubwa sana ya mzigo, lake zone pekee inaweza kujaza ndege, hapo bado avos na horticultures za Southern Highlands, cashews, horticultures and avos za Northern zone, the business is way lucrativeMi nadhani wanunue ndege ya mizigo hata kabla yaani sasa! Miaka miwili mitatu ijayo ni kuchelewesha biashara! Imagine huu mzigo ungeletwa Mwanza kwenye cold wrehouses halafu toka Mwanza uende middle east na Ulaya moja kwa moja!
Hey, niaje mzee wa World Bank? Ebu salimia watu wa WB 🤣 🤣 😂 Hiyo 18,500km of paved roads ni 2018.
Keeping Kenyans Connected by Enhancing the National Road Network
View attachment 1601969
Nataka ucompare na hii hapa ya KNBS.
View attachment 1601972