The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Tony ana exposure kuliko ww na ndiyo maana huwa tunamlinganisha kdg na WaTz, unataka kujifananisha na tony ww, mwenzio ameona zile ni underpass ww ambaye hujawahi kutoka kenya hata mara moja unabisha.So benchmark yako ni Tony254 ? Congratulation to him for being your mentor[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
Cc komora096na hii ya Mombasa dongo kundu port/SGR bypass? for the fourth time crumbling? Hiyo lami ni kama ina miaka kumi tangu ijengwe!
Ingekuwa at risk sana,hao watu wangeweza kulitumia kama kiombea maendeleo,i mean wangetishia kulipua kama hawatapelekewa maji,umeme na barabara.Huku ndipo walitaka bomba la mafuta la Uganda lipite!
Bro ushajisumbua sana kutafuta all links lakini bado unafeli tu😂😂😂. Wewe unaleta link ya KENHA which only deals with one part of roads. This is how Kenya road ministry look likeNdio maana nimesema wewe jamaa kichwa chako hakiko sawa
Hebu tuanzie hapa kwanza
View attachment 1599841
Kama kukubaliana na ujinga zako ndio exposure basi heri nikose kabisa. Tangu lini bridge ikawa underpass?Tony ana exposure kuliko ww na ndiyo maana huwa tunamlinganisha kdg na WaTz, unataka kujifananisha na tony ww, mwenzio ameona zile ni underpass ww ambaye hujawahi kutoka kenya hata mara moja unabisha.
Repair works are being undertaken today in the morning at the Dongo Kundu bypassna hii ya Mombasa dongo kundu port/SGR bypass? for the fourth time crumbling? Hiyo lami ni kama ina miaka kumi tangu ijengwe!
Na mbona huku-report humu? That was a record fourth time the retaining walls r collapsing! wait for the rainy season....Repair works are being undertaken today in the morning at the Dongo Kundu bypass
View attachment 1599851
View attachment 1599854
Hehehehehe hapa ss Tony254 utasema nawachonganisha? Angalia huyu dada anakuita mjinga mchana kweupee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama kukubaliana na ujinga zako ndio exposure basi heri nikose kabisa. Tangu lini bridge ikawa underpass?
PwahahahaaBro ushajisumbua sana kutafuta all links lakini bado unafeli tu😂😂😂. Wewe unaleta link ya KENHA which only deals with one part of roads. This is how Kenya road ministry look like
Juu zaidi ni CS of Roads and Infrastructure.
Chini yake kuna Kenya Roads board- Hii body ndio iko na jukumu la kutoa all the combined data of Kenyan Roads
Chini ya Kenya Road Boards kuna branches kama, KENHA, KURA.KERRA and KWS.
KENHA only deals with Highway Roads.
KURA only deals with Urban Roads
KERRA only deals with Rural Roads.
KWS only deals with roads that are going parks, forests, lakes, etc.
Kila moja ya hizi branches za Kenya Road Board will release their data independently alafu the final results zinatolewa na Kenya Road Board. Sasa wewe kama umetuletea data za KENHA basi unataka maombi🤣🤣🤣🤣
Haya nidanganyeunajua hiyo barabara ina miaka mingapi?
Barabara wazitoe wapi, kuna siku mmoja wao alisema ukwel kuhusu sekta ya barabara jamaa walimwaga povuHakuna barabara Tanzania, what they have ni examples of roads.
Maybe hujui meaning ya KENHA, here is the MeaningPwahahahaa
Yaani umenichekesha sana. Umeanza kuzikataa barabara zenu!?
Kenya has a road network of about 177,800 km out of which only 63,575 km is classified.
Kenya has a road network of about 177,800 km out of which only 63,575 km is classified.Maybe hujui meaning ya KENHA, here is the Meaning
KENYA
NATIONAL
HIGHWAY
AUTHORITY
KENHA will only release data za Highway an sio za nchi nzima.
Wewe unajaribu kunigonganisha mimi na Teargass lakini sitakubali hiyo maneno. Teargass amewapiga 10-0 ndio maana mnatafuta pa kutokea. Teargass endelea kufinya hawa Malazy.Ss ikiwa Tony254 amesoma kuliko ww na amewahi kwenda nje ya kenya kupata exposure kilaza mtoto wa mama mkazi wa Kibera km ww ni nani uanze kumbishia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwingine pia hapa juu anajaribu kulazimisha KENHA to be the overall body that stands for Kenyan roads 🤣 🤣 🤣Barabara wazitoe wapi, kuna siku mmoja wao alisema ukwel kuhusu sekta ya barabara jamaa walimwaga povu
Hakuna barabara Tz je huu ni ushuzi wako au?Barabara wazitoe wapi, kuna siku mmoja wao alisema ukwel kuhusu sekta ya barabara jamaa walimwaga povu
Huo ni mchanga tu lkn barbara bado ipo imara jomba acha maneno mengi...na hii ya Mombasa dongo kundu port/SGR bypass? for the fourth time crumbling?
Hivi una-undermine Engineering that is supposed to measure the soil properties ahead and come up with right solution sio? Mbona aliyejenga hii barabara hathubutu kufanya ujinga huu Tanzania!
na hapa je? the Kshs 3.1 bln runway for Isiolo international airport!
This chinese first class for duped Kenyans costed $3.8 bln!
And 21,000km are paved according to Kenya Roads BoardKenya has a road network of about 177,800 km out of which only 63,575 km is classified.