Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni Dar? 🤣 🤣 🤣 Battle ilikuwa kati ya Nairobi na Dar. Ama umeamua kuita usaidizi?
Mbona umeanza kukimbia tena sababu zinazidi kuwa nyingi hizi ni dalili za kushindwa.

Umesema Kenya ipo na network kubwa ya barabara sasa unaanza kulia kama mtoto
2. Mkapa Bridge
images (47).jpeg
images (45).jpeg
images (46).jpeg
 
Hii ni Dar? 🤣 🤣 🤣 Battle ilikuwa kati ya Nairobi na Dar. Ama umeamua kuita usaidizi?
Me naona kwenye inshu ya bara bara tufanye ivi...

Kenya weka 1 na kui rename ili isijirudie
Na tanzania tunaweka na kui rename pia..

Afu mwisho tutapata mshindi
NOTE. Its all about QUALITY roads. Haya twendeeeeee
 
Wanatafuta ya kulinganisha saizi, najua atakuja na ile ya Mombasa ambayo haikalibii hata kdg hii, ss ngj aje nimtwange nyengine ambayo hawatokaa wawe nayo milele
Umepanic tayari
Ile barabara imewakosha nyoyo zenu kimya kimya walai kumbe..
Imefikia wakati unaiwaza lkn unajifanya kuitaja kinafiki ndio uonekane na wewe unajua barabara bora
 
Back
Top Bottom