Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mi ningekuwa kwenye madaraka ningeondoa hizi nyumba zoote hapa kati kuanzia Mnazi mmoja hospital´, Anatoglo mpaka ile supermarketya BAKWATA, Mnazi mmoja primary school, mahakama pia!
Considering the location of the space (close to Kariakoo and CBD) hapo inahitajika kujengwa park yenye ubora maana watu wengi wanahitaji eneo la mapumziko. Pia wanaweza kuweka creative attractions kwenye hiyo park pamoja na fountains. Wajifunze kutoka kwa Millenium Park in Chicago!
1F8BF8DF-D714-4933-81A1-FD582D13972F.jpeg
8FA43B2B-6074-4BE1-B54F-7B9654FA9085.jpeg
1E9D98B2-A3B6-4E08-B800-BAA9F1475415.jpeg
 
Back
Top Bottom