Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani hawa watu ni washamba sijapata kuonaπŸ˜‚πŸ˜‚ anatuonesha arena yenyewe ina miaka 30 alaf anajiona mjanja mwenyewe
 
The best 007 haya mambo tulishayazungumzia kitambo sana. You need to scroll back.
 
yani hawa watu ni washamba sijapata kuonaπŸ˜‚πŸ˜‚ anatuonesha arena yenyewe ina miaka 30 alaf anajiona mjanja mwenyewe
Ebu weka hile video ya "Arena ya kisasa" tena nicheke πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hakuna infrastructure kenya ipo ikakosekana Tz ila kuna infrastructure Tz zipo kenya hamna, inauma ila ndio hivyo [emoji3][emoji3][emoji3]
Do you have an underpass road?
Do you have an aquatic Stadium?
Do you have an indoor arena?
 
Geza Ulole njoo usikie mpya ya mwaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Inaonesha huu mpaka wa Namanga ndio their busiest national entry point of revenues ukiondoa bandari, wakati Tanzania mpaka wetu uliochangamka ni Tunduma na mipaka mingine yote tupo bumper to bumper

Wao mipaka mingine kama ya Somalia, Sudan, Ethiopia hata haina lami wala any signs of entry or boarder πŸ˜†
 
Visual and sound systems tu za hiyo arena ya Dar zinajenga hizo 1st worldwar cowshades zenu 10 na change inabaki 😁😁😁
Visual sa at club ziko,hapo hakuna kitu,,tent pekee,upepo ukija yote chini,hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…