Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo mana huwa wanapewa vitasa km hv [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1593284
amesahau na airport ya Kigoma iliyoruhusu ndege iliyombeba kumuwahisha kwenda Dar...

Wahenga walisema kauli huumba!

Maendeleo ya vitu at its best kuanzia hospitali, ambulance, runway mpaka ndege iliyombeba! Mja ampe wepesi na amjalie kupona haraka na sia njema..
 
.
IMG_20201007_195354.jpeg
 
Hili analosema TAL kuhusu trams aliwahi kulisema lwiva.
Dar Es salaam haiwezekani kuweka trams. Equivalent ya trams kwa sasa ni BRT. Instead of trams, Dar imepangwa urban rail (metro rail) ambayo sehemu kubwa itakuwa elevated ili kukwepa road traffic. Pia reli hiyo itaungana na existing commuter rail. Tram system imepangwa kujengwa Dodoma ambapo tayari JICA wameshafanya upembuzi yakinifu. Na pia Mbali na trams Dodoma nayo itakuwa na light rail.
 
Sipati picha kwa vile vituo vya BRT tram ita-fit vp! labda ziwe tram za aina yake!
 
Sipati picha kwa vile vituo vya BRT tram ita-fit vp! labda ziwe tram za aina yake!
Kiufupi ni impossible. Dar ni either BRT au Tram system na serikali obviously imechagua BRT. Notice how this Casablanca tramline is situated at the center of the road just like the BRT lanes? The stations,however, are put on the side of the tranline instead of the center like our brt stations.
352D56F7-73F5-451E-979C-62F3C1F053F2.jpeg
1B356073-7917-4705-B118-38920A093847.jpeg
 
Kiufupi ni impossible. Dar ni either BRT au Tram system na serikali obviously imechagua BRT. Notice how this Casablanca tramline is situated at the center of the road just like the BRT lanes? The stations,however, are put on the side of the tranline instead of the center like our brt stations.
View attachment 1593357View attachment 1593359
Nadhani at designing stage hawaku-consider sharing of the track btn BRT and tram! labda wade-sign tram iliyonyanyuliwa ku-fit elevated level ya vituo!
 
Hapa unapajua? Miaka michache iliyopita hapakuwa hvyo so the same as Ubungo miaka michache ijayo hapatokuwa hvyo cz hapastahili tena kuwa hvyo mana kuna infrastructure ambazo hazipatikani EA nzma plus jengo la BRT litakalowekwa pembeni hapo ni lazima kuwe moto zaidi ya unapopaona hapa chini
emoji116.png
[emoji116
Haha,kujipa matumaini tu
 
Back
Top Bottom