Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dd840f105230621.5f7476ec7c4c1.jpg
 
tatizo anakimbilia vyeo sio size yake na kenya inatumia pesa za taxpayers kushawishi ili apite lakini wapi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Uwaziri kwenyewe kapwaya kila siku anabadilishwa! naskia ni shemegi ya Uhuru kaka yake kamuoa Amina!

Gundu lake lilianzia huku ๐Ÿ‘‡ !

 
alimcheka magufuli huyu leo anatubu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]



nikinunua gari na ukaniuliza nimewezaje kununua gari, nikakuambia nilikuwa namuomba Mungu.. then wew ukaniiga kwa kuanza kumuomba Mungu ili upate, si lazima Mungu ajibu hayo maombi ya kupata gari ๐Ÿคช[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom