Yosef Festo vp una la ziada? Msiwe mnakubali kuongopewa na vitakwimu ushuzi vya Google ati zifuatazo ni nchi zenye bajeti kubwa za jeshi Afrika but on ground ushuzi wa mbuzi.
Tz ni nchi ya ajabu sana kuna mambo mengi ya kujivunia ila huwa tunakausha tu, angalia ss gali ambazo kwenu anapanda raisi huku kwetu mapolisi wanazurura nazo mitaani tu kukamata wanywa gongo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Najua kwenu gongo ruksa ila huku kwetu vitu vichafu km hvyo marufuku [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unataka ni waumbue tena? Tanzania tunaijua, mnapenda utani sana, na domo domo., eti v8 ni ya matumizi ya kawaida, peleka ufala mbali, polisi wenu fukara, poor salary, low budget, gari zimechokaa! unaweka VIP escort eti ya matumizi ya mtaa, usinibebe ufala mnavyo bebwa na serikali yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaniambia nini wewe, mko down, what you wont accept, mnajilazimisha muonekane mko juu ya Kenya lakini wapi! Propaganda ndio yako, buda boss! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,
Hahahaaa hizo v8 wanatumia askari ss unataka ushahidi gn, gari hyo imeandikwa PT ss unalia lia nn hebu lete na ww escort ya Kenya tuone.Unataka ni waumbue tena? Tanzania tunaijua, mnapenda utani sana, na domo domo., eti v8 ni ya matumizi ya kawaida, peleka ufala mbali, polisi wenu fukara, poor salary, low budget, gari zimechokaa! unaweka VIP escort eti ya matumizi ya mtaa, usinibebe ufala mnavyo bebwa na serikali yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaniambia nini wewe, mko down, what you wont accept, mnajilazimisha muonekane mko juu ya Kenya lakini wapi! Propaganda ndio yako, buda boss! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,
Yn ww unachekesha sn, kwa taarifa yako polisi Tz na wanajeshi ni miongoni mwa watu wenye maisha mazuri sn hapa Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unataka ni waumbue tena? Tanzania tunaijua, mnapenda utani sana, na domo domo., eti v8 ni ya matumizi ya kawaida, peleka ufala mbali, polisi wenu fukara, poor salary, low budget, gari zimechokaa! unaweka VIP escort eti ya matumizi ya mtaa, usinibebe ufala mnavyo bebwa na serikali yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaniambia nini wewe, mko down, what you wont accept, mnajilazimisha muonekane mko juu ya Kenya lakini wapi! Propaganda ndio yako, buda boss! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,
Hapa ni done and dusted!😂😂😂😂, nili 'control-delete', now is consolation pics, controlled perspective for a false illussion, kweli Tz ni nchi ya ajabu sana, nakubaliana na wewe😂😂😂Usilie tafadhali twende taratibu [emoji116][emoji116]View attachment 1590530View attachment 1590531View attachment 1590532
Kwakweli unaonesha dhahiri kabisa ww huna exposure na hujawahi fika Tz unadhani maisha ni nairobi tu, toka uzunguke ww [emoji3][emoji3][emoji3]Hapa ni done and dusted![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nili 'control-delete', now is consolation pics, controlled perspective for a false illussion, kweli Tz ni nchi ya ajabu sana, nakubaliana na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha,bado sanaUsilie tafadhali twende taratibu [emoji116][emoji116]View attachment 1590530View attachment 1590531View attachment 1590532
Bado hamtoshi, video kaka, weka niweke, dawa yenu ninayo😂😂😂😂😂😂Hahahaaa hizo v8 wanatumia askari ss unataka ushahidi gn, gari hyo imeandikwa PT ss unalia lia nn hebu lete na ww escort ya Kenya tuone.
My Take: Najua umeshangaa sn cz ww pia ni mmoja wa waliokuwa na negative visualization juu ya Tz but uzi umekusaidia sn huu [emoji3][emoji3]
Angalia kingine icho apo pembeni pia ni mfano wa gari za polisi wetu vile zinakaa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1590550
Wacha kurudia picha, twende kazi [emoji116][emoji116]
Hapa ni done and dusted![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nili 'control-delete', now is consolation pics, controlled perspective for a false illussion, kweli Tz ni nchi ya ajabu sana, nakubaliana na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hz hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]kwani huko kwenu middle income country karao hutumia gari gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
mbona huleti??
Hz hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1590573
Ss hzo ulizoweka hapa askari wetu wanakamatia wala mirungi, wavuta bhangi, na wanywa gongo, alafu nimeona umeweka na vifaru kabisa wkt mada co hyo inaonesha kabisa umeshindwa au unataka kuamisha goli ila hata uko napo ukitaka utachapwa cz wenzio walishashindwa huko kitambo, angalia page za juu juu huko utaona [emoji3][emoji3]Bado hamtoshi, video kaka, weka niweke, dawa yenu ninayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadhi ya Kenya police vehicles(matumizi ya kawaida)
Cant you see the video clips nime post.., wacha nikupe na ya county 001 kwa Sultan Joho(Mombasa)kwani huko kwenu middle income country karao hutumia gari gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
mbona huleti??
Ndio sababu kila eneo moja la radar halipaswi kuhudumiwa na radar mbili tofauti, Kama kungekuwa na uwezekano wa Radar moja kufika maeneo yote Tanzania, tusingejenga Radar 4, tungeweka moja tu.
Kwa upande wa SGR kwasababu inatumia fiber, kuna sababu gani ya kujenga Control centres nyingi wakati moja tu inafikia trains zote popote pale nchini?.
Kuhusu vituo vya redio, mfano uliotoa hauendani na maelezo yako, Kila redio inarusha matangazo yake kutoka katika kituo kimoja tu, TBC lazima wawe na center moja ya kurusha matangazo, ITV, Clouds au Wasafi, kila moja lazima iwe na Centre moja tu.
Kama kutajengwa reli nyengine ya SGR, nayo itakua na Control Center yake, wanaweza kuijenga mkoa wowote watakaochagua, lakini watakua na Control Centre moja tu.
KuAti wanajifanya wanahama jamii forums lkn utawakuta wapo humu kwa ID ngeni, hawawezi kuhama Jf hata iweje cz km huijui Jf utahisi hiyo mitandao unayotumia ndiyo super ila cku ukijiunga Jf na cku hyo hyo unatia sign ya milele
Katika makoloni yote ya mjerumani katika afrika (Deutsch sudwest afrika -Namibia, Deutsch ost Afrika-Tanganyika, Togo na Camerun ) wajerumani waliipa sana kipaumbele koloni lake la afrika mashariki. Na inasemekana kwamba wakati Dar es salaam inajengengwa na wajerumani ilionekana kuwa ndio mji bora kabisa kwa wakati huo kulinganisha miji mikubwa katika makoloni yote katika afrika kiasi kwamba hata wakoloni majirani zao waingereza (Kenya) waliaanza kuwaonea wivu wajerumani kwa jinsi walivyokua ambitious kujenga makoloni yake.Ni kweli kabisa Waingereza hawakufanya maendeleo yoyote Tanganyika kwakuwa halikuwa koloni lao, wao walipewa tuu eneo na league of Nations kuliangalia. Ndiyo sababu hawakuweza kuhodhi ardhi ya mashamba makubwa kama walivyofanya Zimbabwe na Kenya.
Ukiangalia kwenye ile picha utaona Dar ya 1937 ni ile ile ya ramani iliyosanifiwa na Mjerumani, aliyekaa miaka 28 tuu Tanganyika. Utaona mji ulikuwa unaishia mtaa wa jamhuri, Upanga haikuwepo kabisa. Hii ndiyo sababu ya majirani (na hata waingereza, ref - a fishing village) kuionea wivu Dar, wakijua ni mji uliojengwa na wantanzania wenyewe.
Ukiangali miji mingi mizuri kusini ya Afrika utaona, uzuri wa miji unashabihiana na muda waliokaa wakoloni, Dar ni tofauti. Hivyo kufutua (debunk 🙂 ) ili nadharia kuwa waingereza pekee ndiyo walioleta maendeleo kusini mwa Afrika.
Dar hii hapa, the developed area! Kwisha maneno, video inamaliza ubishi, mbali na hapa no any other place far North, East, West, na South, residential balaa, road network in comparison na population n size, below average, only two meaningful interchange in the whole sq km! Stick to your lane!!kikihboy vp pumzi imekata auuu[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1590578View attachment 1590580View attachment 1590583View attachment 1590584
Ss kimiundombinu kiuhalisia mbn tumewaacha nyuma hyo nayo unabisha?Dar hii hapa, the developed area! Kwisha maneno, video inamaliza ubishi, mbali na hapa no any other place far North, East, West, na South, residential balaa, road network in comparison na population n size, below average, only two meaningful interchange in the whole sq km! Stick to your lane!!
Eti Paris of East Africa [emoji23] [emoji23] [emoji23]