Kama mngeanza na cargo planes basi mngekuwa mbali sana ila Magu alinunua passenger jets kwa nia kupiga nazo siasa. Ukweli ni kuwa Watanzania hawapendi kutoka nje ya nchi yao kwa hivyo kununua dreamliner kisha kuipark juu ya mawe ni kuharibu pesaInafanyika both ways ..
Martinair Cargo/KLM cargo inatua Kila week kuchukua Holti
Ethiopian airlines pia Cargo plane yao inatua KiA na Mwanza
Tumeweka order ya 767 Cargo jet kwa ajili ya Air Tz ..
hakuna siasa kwenye ndege bro, na hakuna dreamliner wamepark juu ya mawe tatizo lenu nyinyi hamupendi maendeleo ya tanzania kabisa munaona kama tanzania ni hasimu wenuππ lazima nchi iwe na shirika lenye ndege na yeye ali target sana wataliiKama mngeanza na cargo planes basi mngekuwa mbali sana ila Magu alinunua passenger jets kwa nia kupiga nazo siasa. Ukweli ni kuwa Watanzania hawapendi kutoka nje ya nchi yao kwa hivyo kununua dreamliner kisha kuipark juu ya mawe ni kuharibu pesa
Wacha ujinga. Nilidhani wewe mwarabu una pesa kwa hivyo ulipanda ndege direct. Kumbe uliamua kutravel kwa siku mbili au tatu ili ufike? Pole kwa uchovu wa safarisasa nitafika vipi kisumu bila kupita nairobi?? wakat mm natokea dar then arusha namanga then nairobi nakuru kericho kisumu , maswali gani unaniuliza ya kipuuzi haya
utaskia wanashangilia huku nchi inakufa ππ
Kwahiyo ndio sababu mnataka kurudisha zile ndege KQ ilizokodi kwa wenyewe, kumbe mlitegemea wakenya ndio wajaze hizo ndege za KQ?Kama mngeanza na cargo planes basi mngekuwa mbali sana ila Magu alinunua passenger jets kwa nia kupiga nazo siasa. Ukweli ni kuwa Watanzania hawapendi kutoka nje ya nchi yao kwa hivyo kununua dreamliner kisha kuipark juu ya mawe ni kuharibu pesa
Hahaha yaani Uhuru amewafanya kitu mbaya hawa watu,aisee!utaskia wanashangilia huku nchi inakufa ππ
nilitalii kutumia gari langu mwenyewe kutoka dar mpaka kisumu na gharama ya mafuta niliotumia ni sawa na kupanda ndege kutoka dar mpaka kisumu mara 2, napenda sana kutalii kwa kutumia gariWacha ujinga. Nilidhani wewe mwarabu una pesa kwa hivyo ulipanda ndege direct. Kumbe uliamua kutravel kwa siku mbili au tatu ili ufike? Pole kwa uchovu wa safari
Ss shirika letu litakufaje wkt cc pekee tunatosha bila kutegemea route za nje.hakuna siasa kwenye ndege bro, na hakuna dreamliner wamepark juu ya mawe tatizo lenu nyinyi hamupendi maendeleo ya tanzania kabisa munaona kama tanzania ni hasimu wenu[emoji23][emoji23] lazima nchi iwe na shirika lenye ndege na yeye ali target sana watalii
haina maana kama kq inakufa basi na sisi tufe hio haitatokea [emoji2][emoji2][emoji2]
Gari yenyewe haina number plate.nilitalii kutumia gari langu mwenyewe kutoka dar mpaka kisumu na gharama ya mafuta niliotumia ni sawa na kupanda ndege kutoka dar mpaka kisumu mara 2, napenda sana kutalii kwa kutumia gari
siunaona chuma kama hii nikiamua safari hata south africa mwiba unatoboa πππ
View attachment 1588446View attachment 1588447View attachment 1588448View attachment 1588449
Halafu ulihisi wivu sana ulipoona hata Kisumu pia ina flyover. Hahaha.nilitalii kutumia gari langu mwenyewe kutoka dar mpaka kisumu na gharama ya mafuta niliotumia ni sawa na kupanda ndege kutoka dar mpaka kisumu mara 2, napenda sana kutalii kwa kutumia gari
siunaona chuma kama hii nikiamua safari hata south africa mwiba unatoboa πππ
View attachment 1588446View attachment 1588447View attachment 1588448View attachment 1588449
In pictures, Europe indeed! kweli kweli kweli! π ππBetter steak your mouth where it belong...[emoji1787][emoji1787][emoji1787].....this is Europe of EA...so deal with it, if you cant handle disappointment please hug transfomerView attachment 1588397View attachment 1588398View attachment 1588400View attachment 1588402View attachment 1588403View attachment 1588405View attachment 1588407View attachment 1588409View attachment 1588410View attachment 1588411View attachment 1588413View attachment 1588414
The point you're missing is this... Dar doesn't scream to the world, "I'm this! or that!". But when people in the diaspora happen to get a taste of it, they never wanna leave.The kicks of a dying horseππ, such argument is common to any big city, but Dar outside what is captured hakuna jipya, picha sehemu moja moja gives a deceptive perception,., everything is clear. I can say the same of Nairobi, kuna sehemu natembea nashangaa! But so far, Nairobi Metropolitan is king when it comes to developed area., plus residentials around it, including connecting road network.
The best 007 kiukweli mlikua mumetudanganya deadly na cosmetic pictures., nimechambua kote kote, na zile zote mumetupa humu., ππππ
same old same old! the reason I like video clips., hakuna deception., eti Europe ya EAC, indeedhapa mutasubiri miaka 50πππππ
Now you are talking; it makes sense when you invoke cultural stuff, hapa Dar has a real African feel, mengine la hasha, only in your patriotic minds. thank you.The point you're missing is this... Dar doesn't scream, to the world, "I'm this! or that!". But when people in the diaspora happen to get a taste of it, they never wanna leave.
It's not just how massive and clean the city is, but its culture, the people, the language and (of course) the food, its healing energy and and how much the dollar can stretch far and wide. They are surprised to learn, they can afford to live in mansions full of different fruit trees and a walking distance to the beach. And the fact that they can have a "dada wa kazi" and mlinzi, makes the whole experience supa dupa fly, and they are just regular folks.
Lastly, we speak in a soft rhythmic voice, it's very hypnotic to the ear and Tanzanians in general are very polite people. These are few reasons that make our city stands out.
Well said ππ½The point you're missing is this... Dar doesn't scream, to the world, "I'm this! or that!". But when people in the diaspora happen to get a taste of it, they never wanna leave.
It's not just how massive and clean the city is, but its culture, the people, the language and (of course) the food, its healing energy and and how much the dollar can stretch far and wide. They are surprised to learn, they can afford to live in mansions full of different fruit trees and a walking distance to the beach. And the fact that they can have a "dada wa kazi" and mlinzi, makes the whole experience supa dupa fly, and they are just regular folks.
Lastly, we speak in a soft rhythmic voice, it's very hypnotic to the ear and Tanzanians in general are very polite people. These are few reasons that make our city stands out.
What do you mean by βmengine?βNow you are talking; it makes sense when you invoke cultural stuff, hapa Dar has a real African feel, mengine la hasha, only in your patriotic minds. thank you.
The guy was not talking about βcultural stuff.β Lini wakenya mtakuwa na akili? Heβs talked about quality of life in Dar Es Salaam.Now you are talking; it makes sense when you invoke cultural stuff, hapa Dar has a real African feel, mengine la hasha, only in your patriotic minds. thank you.
nimeziba bro siunaona hapo nimeziba tu ila inayo πππGari yenyewe haina number plate.