Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ambayo according to Gvt and JAICA its save more than 50000+ daily
 
Make your doom fact right , the road handle 68,000 before construction of the interchange bogus[emoji706]
 
Lazy pekee ni nyie msio elewa , apo nirobarry jam pekee iko apo thika ....laki kwa Dar njia za kutoka ni zaidi ya tatu...so exspect distribution of the cars almost evenly
 
Kumbe umekuja kutuelezea vifeelings vyako, vya chuki kisa unaiona Dar kama Europe lakini hutaki kukubali...thats on you shattle head deal with it....we dont give a shit about your denial....for mean time[emoji116]
 
Sikh ukifikia hapa uje
Bait taken πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ sasa hii ndio Dar is slum! zile deceptive angles na cosmetics ziko wapi?., can't level, angalia surroundings., na hii ndio ati flyover ya maana Dar., three level sikatai, then it is shortly done, next clip please..,
 
Wapi hapo
A bigger version of Eastlands, na bado sana! weka drone view, motion clips not stills., hapa hamtoboi, giving favorable angles., naona flats kibao, exactly like Eastlands part of Nairobi, which looks almost same as areas within and around your CBD. Drop Video ya Dar.., North, East, West na South kaka., plus residentials., cant level with Nairobi Metro!
 
Kumbe umekuja kutuelezea vifeelings vyako, vya chuki kisa unaiona Dar kama Europe lakini hutaki kukubali...thats on you shattle head deal with it....we dont give a shit about your denial....for mean time[emoji116]View attachment 1588271
Vipicha vya kuchocha na kujipa matumaini tu, creating a false illusion πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚ I like the video clip more, inaonyesha muonekano kamili., after this na ile nyingine kuna lingine la maana?., ama weka tu same pics different angles for entertainment bro., jibambe kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…