Mkuu kumbuka Nguvu za kijeshi sio kigezo pekee cha ushindi katika vita,na pia sio kigezo saana katika kumzuia adui yake kuyalinda Maslahi yake...mfano mziri ni Vita vya Iran na Iraq,Vietnam na US,,na km ni kutishiana angalia N KOREA vs US na hata Rwanda na TZ enzi za JK.........Maslahi ya Ethiopia kwenye huo mto ni makubwa kuliko hivo vita unavyowaza......aiingii akilini mradi ulioigharimu Nchi $7bilion usifanyiwe kazi.Will Ethiopia force Egypt to carry out the first strike of the African water wars?
Soma hiyo ndio utajua nani ni nani kati ya Ethiopia vs Egypt kijeshi.
Ni tweet ya kipuuzi sana.....Moreno Lenin ni Rais wa Ecuador..ni Mlemavu
MY TAKE
I don't support that [emoji121], Indonesia ishawahi kuwa na Rais kipofu! Nimejiskia vibaya ukizingatia utaa wa kilichosababisha awe hivyo!
Hubtuna international airports zaid ya tatu afu nchi isiwe international aviation hub in EA? wataisoma namba
1. Julius Nyerere International Airport- Dar
2. Kilimanjaro International Airport- Kiβnjaro
3. Abeid Aman Karume International Airport- Zanzibar
4. Songwe International Airport- Mbeya
5. Mwanza International Airport- Mwanza (U/C)
6. Msalato International Airport- Dodoma (U/C)
tukumbuke Tanzania imezungukwa na nchi nane [emoji177][emoji7]
Ndio maana Kenya vitu vingi mnafeli kumbe hivyo ndio style yenu ya kuwaza hahahaaa... Au hujui kuna sgr ni ya umeme na vwanda vya Kati vnamea ka uyogaWao wana industries zinazotumia umeme kwa wingi. Ilikuwa ujinga wao kutoinvest katika kuzalisha umeme. Ila nyie ambao hamtumii umeme kwa wingi mjichunge msije mkainvest kwa mradi ambao utapoteza umeme na kuleta hasara kwa kodi ya wananchi. 2,000 MW sio kidogo. Miaka 59 baada ya TZ kupata uhuru bado mnatumia umeme wa 1,300 MW. Hio 2115 MW ni kupoteza pesa bure
Kwenye mjadala bora sijakutusi na nimechangia kwa heshima basi sitegemei wewe unitusi au kunikosea heshima. Sio lazima tukubaliane kwa kila jambo. Wacha kila mtu atoea maoni yake, mwenye atashawishi umati wa watu ndiye ameshinda. Lakini sitafeli kutoa maoni yangu eti kwa sababu yanakinzana na yako. Hapa sote tumekuja kujifunza. Wewe unaposema kuwa Kenya ni failed state hamna Mkenya anayekutishia. Unapotoa listi ya maovu ya Kenya kulingana na wewe, corruption, tribalism n.k, hakuna mtu anayekutisha. Tunakupuuza tu. Sasa wewe puuza tu kama hufurahii nilichoandika au uchangie kwa kupinga kama Watanzania wengine. Kwa sasa Mtanzania mtz one ambaye ni mwerevu kweli ila ameshindwa kuniconvince kuwa TZ ina uwezo wa kuutumia umeme huo au kuuexport wote ukaisha.Huyo jamaa hastahili hata kumjibu ndio sababu ninampuuza, na wewe ninakushauri ili kulinda heshima yako uliyoijenga kwa muda mrefu, wacha kuzungumza vitu usivyokua na ufahamu navyo, ninafuatilia jinsi unavyozungumzia mambo ya umeme, ninakushangaa ila kwasababu ninakuheshimu sana, ninajizuia kukujibu kwasababu nitakufedhehesha, ila ukiniruhusu nitafanya hivyo.
Smelter ni kweli huwa inanyonya umeme bila mchezo. Lakini inategemea size ya hio smelter.Asisahau kuna smelters zinajengwa pia
Kenya mnazo?Smelter ni kweli huwa inanyonya umeme bila mchezo. Lakini inategemea size ya hio smelter.
Mkuu mbona sikuelewi?, inaonekana hujafuatilia huu mjadala kwa urefu.Mkuu kumbuka Nguvu za kijeshi sio kigezo pekee cha ushindi katika vita,na pia sio kigezo saana katika kumzuia adui yake kuyalinda Maslahi yake...mfano mziri ni Vita vya Iran na Iraq,Vietnam na US,,na km ni kutishiana angalia N KOREA vs US na hata Rwanda na TZ enzi za JK.........Maslahi ya Ethiopia kwenye huo mto ni makubwa kuliko hivo vita unavyowaza......aiingii akilini mradi ulioigharimu Nchi $7bilion usifanyiwe kazi.
Hiyo si ni vita tayariMkuu mbona sikuelewi?, inaonekana hujafuatilia huu mjadala kwa urefu.
1)Kila mtu ana maslahi yake katika huu mto, Ethiopia anataka umeme, Egypt anataka chakula na kazi kwa watu wake, nani mwenye maslahi muhimu zaidi?
2)Ethiopia alipaswa kabla ya kujenga ashauriane na wenzake kukubaliana jinsi ya kuzuia athari kwa majirani, hakufanya hivyo yeye alijali maslahi yake tu, haijalishi hata kama angejenga la $20B, hiyo sio sababu ya kuathiri uchumi na maisha ya wengine kwa sababu ya $7B.
3)Hapa hakuna vita vitakavyotokea, kitakachofanyika ni kulivunja hili bwawa kutokea mbali ili lisifanye kazi kwa kurusha ndege na cruse missiles kutokea mbali.
Swala la Matumizi ya huu umeme ni swala la kuwa na taarifa na sio werevu. Zegereni industrial hub ina zaidi ya viwanda vikubwa nane ambavyo ujenzi umesimama kupisha juhudi za serikali kupeleka umeme wa kutosha.Kwenye mjadala bora sijakutusi na nimechangia kwa heshima basi sitegemei wewe unitusi au kunikosea heshima. Sio lazima tukubaliane kwa kila jambo. Wacha kila mtu atoea maoni yake, mwenye atashawishi umati wa watu ndiye ameshinda. Lakini sitafeli kutoa maoni yangu eti kwa sababu yanakinzana na yako. Hapa sote tumekuja kujifunza. Wewe unaposema kuwa Kenya ni failed state hamna Mkenya anayekutishia. Unapotoa listi ya maovu ya Kenya kulingana na wewe, corruption, tribalism n.k, hakuna mtu anayekutisha. Tunakupuuza tu. Sasa wewe puuza tu kama hufurahii nilichoandika au uchangie kwa kupinga kama Watanzania wengine. Kwa sasa Mtanzania mtz one ambaye ni mwerevu kweli ila ameshindwa kuniconvince kuwa TZ ina uwezo wa kuutumia umeme huo au kuuexport wote ukaisha.
Ni jambo la kuchekesha na kusikitisha sana kwa mtu anayeshangaa kwa Tanzania kuzalisha umeme wa ziada tena wa bei nafuu. Umeme ni "Consumable goods", kama ilivyo chakula. Tanzania tunazalisha tani 16M kwa mwaka wakati mahitaji yetu ni tani 13M, na bado kila siku tunaongeza bidii ya kuzalisha chakula kingi zaidi, mbona hamjiulizi katika hilo?.Kwenye mjadala bora sijakutusi na nimechangia kwa heshima basi sitegemei wewe unitusi au kunikosea heshima. Sio lazima tukubaliane kwa kila jambo. Wacha kila mtu atoea maoni yake, mwenye atashawishi umati wa watu ndiye ameshinda. Lakini sitafeli kutoa maoni yangu eti kwa sababu yanakinzana na yako. Hapa sote tumekuja kujifunza. Wewe unaposema kuwa Kenya ni failed state hamna Mkenya anayekutishia. Unapotoa listi ya maovu ya Kenya kulingana na wewe, corruption, tribalism n.k, hakuna mtu anayekutisha. Tunakupuuza tu. Sasa wewe puuza tu kama hufurahii nilichoandika au uchangie kwa kupinga kama Watanzania wengine. Kwa sasa Mtanzania mtz one ambaye ni mwerevu kweli ila ameshindwa kuniconvince kuwa TZ ina uwezo wa kuutumia umeme huo au kuuexport wote ukaisha.
Israel amekua akipiga maeneo mbali mbali ndani ya Syria anayohisi ni hatari kwa usalama wake lakini hakuna vita kati ya Israel na Syria.Hiyo si ni vita tayari
Mkuu ninachokiweka sawa hapa ni hizo Nguvu za kijeshi unazojinasibu nazo kuhusu Misri...najaribu kukuambia tuu hiz Nguvu sio chochote ktk Ushindi wa kivita mkuu...Misri ina waasi wa Kijihadi huko Penusila ya Sinai wanamletea changamoto kubwa sana....sasa ukizungumzia vita kamili mie nashangaa, tena budjet yake ya kijeshi inakuwa supported na US.Mkuu mbona sikuelewi?, inaonekana hujafuatilia huu mjadala kwa urefu.
1)Kila mtu ana maslahi yake katika huu mto, Ethiopia anataka umeme, Egypt anataka chakula na kazi kwa watu wake, nani mwenye maslahi muhimu zaidi?
2)Ethiopia alipaswa kabla ya kujenga ashauriane na wenzake kukubaliana jinsi ya kuzuia athari kwa majirani, hakufanya hivyo yeye alijali maslahi yake tu, haijalishi hata kama angejenga la $20B, hiyo sio sababu ya kuathiri uchumi na maisha ya wengine kwa sababu ya $7B.
3)Hapa hakuna vita vitakavyotokea, kitakachofanyika ni kulivunja hili bwawa kutokea mbali ili lisifanye kazi kwa kurusha ndege na cruse missiles kutokea mbali.
acha kabisa maisha yao ni magumu kuliko maisha ya punda amini maneno yangu alaf ni mbaya zaidi roho zao mbaya sana, hawana uttu kabisabudaa tuache utani,hawa watu wana maisha magumu sana[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
mwanamke wa tz afanye hivi[emoji2][emoji2],itabidi watu tufanye ziara kwenda kumhoji kakumbwa na nini??
huyo siasa zinamsumbua kabanwa makende na magu hana hamu wala usimlaumu ndio maana hua wanampuuza humu ndaniπππGeza Ulole joto la jiwe huyu Mtanzania Choice Variable anajielewa sana. Mjifunze kitu kutoka kwake.
hutamuona wanjala kwa kipindi huki πππAlafu wewe jamaa unazitoa wapi hizi photo?ππππ
ww jamaa mbona unakua mjinga kiasi hiki sikutegemea ππππSasa kama mnajua kuwa gas ni nafuu kushinda umeme na viwanda vingi vinatorokea upande wa gas na kuutelekeza kabisa utumiaji wa umeme ni hekima kweli kujenga jitu la 2,115 MW? Yaani GOT inataka sana kufanya viwanda vyenu vitumie gas na viwache kutumia umeme na upande mwingine wanapanua uzalishaji wa umeme
πππ hvi unajua smelter zilivo wwSmelter ni kweli huwa inanyonya umeme bila mchezo. Lakini inategemea size ya hio smelter.