Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eritrea is wining n dining with Ethiopia, there is no way they can allow Egyptian naval base in her territory!
Kaka Egypt inaweza kutuma ndege zake moja kwa moja toka Egypt na kufanya mashambulizi na kurudi, pia wanazo Cruse missiles zenye uwezo wa kutoka Egypt hadi Ethiopia.

Egypt anauwezo wa kutupiga sisi sote kwa pamoja katika nchi za maziwa makuu kwa kutumia ndege na missiles zake, yuko vizuri sana.

Amini usiamini lakini utayakumbuka maneno yangu siku zijazo, kama Ethiopia itaendelea na kiburi chake cha kulijaza hilo bwawa "Unilaterally", lazima Egypt italishambulia, sidhani kama 2021 itaisha bila ndege za Egypt kulishambulia hilo bwawa. Soma hii.
Will Ethiopia force Egypt to carry out the first strike of the African water wars?
 
A view from Victoria

IMG_2033.jpg
 
Ethiopia wanalijaza bwawa hivooo. ..
 
Ethiopia wanalijaza bwawa hivooo. ..
Subiri mziki wake, Egypt ana support kubwa Sana duniani kutokana na Kiburi cha Ethiopia, huu utakua ndio mtihani wa kwanza na muhimu kwa Abiy Ahmed. Kama hawatokua makini, hilo bwawa halitozalisha umeme kabisa, itakula kwao.
 
Mshikaji haya mahaba kwa Egypt toka lini? Ethiopia ikipigwa then what? Lile bomba la maji kwenda Tabora litabaki salama? Hydropower plant ya Uganda itabaki salama?
 
Sina mahaba na Egypt, lakini ninachukia mtu mwenye kiburi ambaye hataki kukubaliana na majirani wake anajichukulia maamuzi kivyakevyake.

Unakumbuka hata Malawi alitaka kutufanyia hivyo hivyo kwa kuruhusu makampuni ya mafuta kuanza kutafuta mafuta katika upande wetu wa ziwa Nyasa bila kutushirikisha, tukamuomba tufanye mazungumzo wakakataa na kudai kila kitu kilichoachwa na wakoloni lazima kiheshimiwe, tulipomtishia kumshambulia kijeshi ndio akafyata mkia akakubali kukaa mezani.

Kenya na Somalia wako mahakamani wanasubiri usuluhishi. Ethiopia hataki kusubiri mazungumzo yakamilike, yeye anaendelea kivyakevyake kwa kutumia kiburi wakati nguvu hana, dawa ya kiburi ni jeuri, wacha alazimishwe kurudi mezani kwa kutandikwa.
 
Mbona Egypt na Uganda na sisi wengine wote tulikaa chini kipindi cha Kikwete tukakubalina kuhusu matumizi ya maji ya ziwa victoria na kiwango chake, bwawa la umeme la Uganda na haya matumizi ya Tanzania yapo ndani ya kiwango kinachokubalika, hata tukitaka kuvuta maji kwa ajili ya nchi nzima, bado tutakua hatujafikia limit ya kiwango tunachoruhusiwa kutumia.

Tatizo la Ethiopia alijenga bwawa kubwa Sana mara kumi ya mahitaji yake bila kushauriana na wenzake, inaonekana kama vile lengo la Ethiopia ni kufanya biashara zaidi kuliko matumizi yake ya ndani, hiyo ndio sababu kubwa ya Egypt kulalamika, Kama ingekuwa ni kwa ajili ya nchi yake, angeweza kujenga lenye ukubwa wa Nusu ya hilo la sasa.
 
Ethiopia only 27% wako na umeme na idadi yao ni zaidi ya milioni 90! Umeme wa 7500 MW mbona mdogo? Mkataba wa matumizi ya mto Nile ulioipa Eqypt uhalali wa matumizi 90% unahitaji kubadilika!
 
Sina mahaba na Egypt, lakini ninachukia mtu mwenye kiburi ambaye hataki kukubaliana na majirani wake anajichukulia maamuzi kivyakevyake.

Unakumbuka hata Malawi alitaka kutufanyia hivyo hivyo kwa kuruhusu makampuni ya mafuta kuanza kutafuta mafuta katika upande wetu wa ziwa Nyasa bila kutushirikisha, tukamuomba tufanye mazungumzo wakakataa na kudai kila kitu kilichoachwa na wakoloni lazima kiheshimiwe, tulipomtishia kumshambulia kijeshi ndio akafyata mkia akakubali kukaa mezani.

Kenya na Somalia wako mahakamani wanasubiri usuluhishi. Ethiopia hataki kusubiri mazungumzo yakamilike, yeye anaendelea kivyakevyake kwa kutumia kiburi wakati nguvu hana, dawa ya kiburi ni jeuri, wacha alazimishwe kurudi mezani kwa kutandikwa.
Usichanganye madesa mzee Ethiopia anapigania tunachopigania Lake Nyasa! Equitable share of water usage in River Nile wakati sie tunapigania equitable ownership of lake Nyasa kwa maana halisi oiwnership leads to water usage rights (including fishing and oil exploration activities) too. Soma mgogoro uujue kwanza! Na position ya all upper riparian states inaendana na Ethiopia!
 
Usichanganye madesa mzee Ethiopia anapigania tunachopigania Lake Nyasa! Equitable share of water usage in River Nile. Soma mgogoro uujue kwanza! Na position ya all upper riparian states inaendana na Ethiopia!
Sichanganyi madesa ila wewe hujapata concept nzima ya neno usuluhishi. Kunapotokea kutofahamiana kati ya nchi na nchi, kuna mifumo ya kusulihishana, inachukua muda mrefu lakini ni muhimu kufuatwa hadi mwisho.

Kumbuka mgogoro wa Cameroon na Nigeria, unechukua zaidi ya miaka 30, mwisho mahakama ukaipa ushindi Cameroon.

Haiwezikani Ethiopia inalalamikiwa na nchi mbili ambazo zote zinataka wakae mezani ili watafute suluhisho lakini Ethiopia wanaendelea na mradi kabla mazungumzo hayajakwisha, hicho ni kiburi hakiwezi kuvumulika.
 
Ethiopia only 27% wako na umeme na idadi yao ni zaidi ya milioni 90! Umeme wa 7500 MW mbona mdogo? Mkataba wa matumizi ya mto Nile ulioipa Eqypt uhalali wa matumizi 90% unahitaji kubadilika!
Ndio sababu akaambiwa wakae mezani ili wazungumze. Wewe unazungumzia mahitaji ya umeme Ethiopia?, Egypt wanategemea hayo maji kwa ajili ya Chakula kwa 90%. Kwa ufupi ni hivi, There is no lives in Egypt without water from river Nile".

Kule Egypt wana msemo usemao" Uti wa mgogo wa Uchumi wa Egypt ni mto Nile". Egypt wako tayari kufanya lolote kulinda mto Nile. Ethiopia mahitaji yao ya umeme bado yapo chini sana.
 
Sichanganyi madesa ila wewe hujapata concept nzima ya neno usuluhishi. Kunapotokea kutofahamiana kati ya nchi na nchi, kuna mifumo ya kusulihishana, inachukua muda mrefu lakini ni muhimu kufuatwa hadi mwisho.

Kumbuka mgogoro wa Cameroon na Nigeria, unechukua zaidi ya miaka 30, mwisho mahakama ukaipa ushindi Cameroon.

Haiwezikani Ethiopia inalalamikiwa na nchi mbili ambazo zote zinataka wakae mezani ili watafute suluhisho lakini Ethiopia wanaendelea na mradi kabla mazungumzo hayajakwisha, hicho ni kiburi hakiwezi kuvumulika.
Nchi mbili? seriously? how many countries r on River Nile basin? N u think the dispute will be solved on the Blue Nile alone? What about the 15% water contribution from the White Nile? Transboundary water sources need a more broader inclusive agreement among partners!

Why the 11 countries that rely on the Nile need to reach a river deal soon.
 
Nchi mbili? seriously? how many countries r on River Nile basin?

Why the 11 countries that rely on the Nile need to reach a river deal soon.
Tunazungumzia hilo bwawa la Ethiopia, madhara yake yanazikumba nchi za Sudan na Egypt. Mbona Sudan na Egypt hawazilalamikii Uganda inayojenga bwawa na umeme, au Tanzania tunaotumia maji kwa matumizi ya majumbani, viwandani na mashambani?. Mkuu usiwatetee wahabeshi katika hili ni wakorofi. Kwanini Ethiopia isingeomba AU kusuluhisha kama sisi tulivyoomba SADC itusulihishe na Malawi?
 
The main issue ni pact iliyosainiwa na Mkoloni Mwingereza aliyekuwa na interests zake Egypt na Sudan kwenye mashamba yake ya umwagiliaji ya pamba! Mimi sishangai anachofanya Mhabesh! At least yuko bold, ana-challenge the unfair Treaty! The AU itself imekaa kimya kwa vile inajua a need for equity on Nile's waterusage! Tuache hii argument kwa vile ur views hazina mashiko kwangu vilevile zangu hazina mashiko kwako!
 
The main issue ni pact iliyosainiwa na Mkoloni Mwingereza aliyekuwa na interests zake Egypt na Sudan kwenye mashamba yake ya umwagiliaji ya pamba! Mimi sishangai anachofanya Mhabesh! At least yuko bold, ana-challenge the unfair Pact! The AU itself imekaa kimya kwa vile inajua a need for equity on Nile's waterusage! Tuache hii argument kwa vile ur views hazina mashiko kwangu vilevile zangu hazina mashiko kwako!
Mbona sisi Tanzania pia ni wahanga wa hizo unfair pact za wakoloni katika ziwa Nyasa lakini tumeomba SADC itusaidie kusuluhisha hatujichukulii uamuzi mkononi pamoja na kwamba tuna uwezo mkubwa wa Kijeshi kuzidi Malawi?. Ethiopia kuonyesha boldness mbele ya Egypt ni kichekesho cha mwaka, subiri kitakachowakuta.
 
Will Ethiopia force Egypt to carry out the first strike of the African water wars?
Soma hiyo ndio utajua nani ni nani kati ya Ethiopia vs Egypt kijeshi.
Mzee umelishwa yamini nn? Ethiopia si wabaya hivyo ukitaka kujua uzuri wao wako Somalia kama Kunyaland ila Al Shabaab hawajawahi penya kufanya shambulio Addis Ababa! Na kuna Ethiopia kuna jamii Wasomali kutoka Ogaden na Waislam wapo pia.

Vita si silaha bali how active has been ur army on any sort of incursion! It turns out Egypt can't backup it's warnings towards Ethiopia.

I strongly believe Egypt doesn't have economic muscles to start war with Ethiopia at the moment while they r engaged with Libya's n Syria's wars.
 
Back
Top Bottom