😀😀😀😀😀 mtu anaongelea sattelite ushuzi mtupu
😂😂😂 hawawezi askari wananjaa utaskia wanakwambia leta ile magufuli amekupaAroo, zile safari zako za Mombasa Nairobi utakutana na jamaa njiani atakupiga mkono halafu adhabu yake kwako akuweke quaranteen ya wiki mbili ki-lazma! ila hawa watu ni lazy aisee...
hapo waichukue bandari ya mombasa warudishe pesa yao tu 😀😀😀Tembo mweupe anazidi kuota pembe 🤣🤣🤣
Mishahara ya kuwalipa watumishi wa umma hawana, itakua ya kulipia white elephant? 😅😅😅😅
Ingekuwa mimi mchina ningeng'oa reli yangu, hapo haawatalipa milele sababu hiyo hela hawatakaa wawe nayo.
hapo waichukue bandari ya mombasa warudishe pesa yao tu 😀😀😀
View attachment 1582910
Mbona mchakato unaendelea kwa geresha ya kuunganisha port, pipeline n rail services!hapo waichukue bandari ya mombasa warudishe pesa yao tu 😀😀😀
View attachment 1582910
Buda just say it is a program which will help you in the near future to develop a satellite on your own and that is one of the great achievement, but to say it is a locally made by kenyan na."Technical support" is why you're restless to prove Japanese built it? 😅😅😅, you bongo people are funny though. anyway,just know that scientists work together and share ideas and knowledge, The existence of the ISS would not be possible without coordination and cooperation between Canada, Japan, the Russian Federation, the United States, and eleven Member States of the European Space Agency like France, Germany, Italy, Spain, Sweden, Switzerland and the United Kingdom.
View attachment 1582802View attachment 1582804
Tembo mweupe anazidi kuota pembe
Mishahara ya kuwalipa watumishi wa umma hawana, itakua ya kulipia white elephant?
Ingekuwa mimi mchina ningeng'oa reli yangu, hapo haawatalipa milele sababu hiyo hela hawatakaa wawe nayo.



Bi dada naona una lako jambo. Huko kwenu makabila tu yamewashinda kuunganisha halafu unathubutu kuita muungano wetu wa kiboya. Basi na Kenya ni ya kiboya maradufu maana imeshindwa kuunganisha hata makabila ndani ya mipaka yake!Muungano wa kiboya sna wlaai..sijawai uona![]()
Ng'ombe wa kenya kumbe ni wa kiboya namna hii yaani anakaliwa na ng'ombe ingine halafu ametulia tu. 😃😃😃😃Geza Ulole njoo uchukue mtu wako😂😂 naona kuna ng’ombe wa blueView attachment 1582885
Migingo enzi za moi na kenyatta alikua wapiKm ni wakiboya usinge fikisha miaka 56 toka kungan...vipi migingo ilisha ungana na kenya au bado mzee M7 ameishkilia ....akiwatish na ile Sukoi 30


Zanzibar's AAKIA is ready to serve the World

