Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haya yote yanawezekana. shida ipo ni corrupt leaders ambao wana nia ya kukitajirisha na kula mali ya umma tu bila kufikiria hali ya wengine. tungekuwa na viongozi wanaofikiria miaka 50 zijazo kama Elon Musk tusingekuwa hivi kama Africa.
ila wananchi wanajaribu hata kushinda serikali badala ya vise versa. mfano huku Kenya kuna enterprises nyingi zinakubali kulipwa na crypto currency including matatus na hata butcheries ambayo nimeyaona mimi mwenyewe.
Tu ta adapt pole pole tu .. Kama kawaida africa
 
Kujenga body ni kazi rahisi. Mkianza kutengeneza engine uniite. Morocco na SA ndio nchi zinazoweza kutengeneza engine ya gari kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Fundi Mbwilo anaforge block mwenyewe anachonga Piston we unasema Nyumbu!? 🙂 Na nakwambia tutatoa magari mazuri na engine swafi tutaziita kifaru tuone kama hamnunui..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watu ndo wajue elimu ya Tanzania kiboko. Hawa panya wa SUA wamesidia sana kutegua mabomu Angola. SUA pia wanapanya wanaoweza kutambua samples za TB, accuracy yao ni kubwa na wanatambua haraka sana kuliko hata kutumia x ray ambayo usomaji wake una human error.

Mimi ni mwamini sana wa ku blend teknolojia ya viumbe hai na ya kisasa ili kutatua matatizo yetu (mf kutumia mbwa kupima kisukari). Tunaweza hata kuwa train bundi kuweza kunusa hormones zinazomtoka mtu aliye na wasi wasi (suspect), hasa kwenye maeneo sensitive kama airport. Bundi huwa wanauwezo wa kunusa harufu inayotokana na metabolic activities za mtu anayekaribia kufa, tena akiwa mbali sana. Hawa wanaweza kuwa trained kujua kama mtu yuko nervous au kama anaficha kitu.

Tunaweza kutrain wanyama wenye sifa mbali mbali ili watusaidie kuvumbua sehemu yenye madini, mafuta na hata gesi bila ya kuagiza teknolojia nje kwa bei ghali. Anyways, maybe I need to shut up before I give these nyang'aus billion dollar idea. 😉
 
Watu ndo wajue elimu ya Tanzania kiboko. Hawa panya wa SUA wamesidia sana kutegua mabomu Angola. SUA pia wanapanya wanaoweza kutambua samples za TB, accuracy yao ni kubwa na wanatambua haraka sana kuliko hata kutumia x ray ambayo usomaji wake una human error.

Mimi ni mwamini sana wa ku blend teknolojia ya viumbe hai na ya kisasa ili kutatua matatizo yetu (mf kutumia mbwa kupima kisukari). Tunaweza hata kuwa train bundi kuweza kunusa hormons zinazotoka mtu aliye na wasi wasi (suspects) kwenye maeneo sensitive kama airport. Bundi huwa wanauwezo wa kunusa harufu inayotokana na metabolic activities za mtu anayekaribia kufa, tena akiwa mbali sana. Hawa wanaweza kuwa trained kujua kama mtu yuko nervous au kama anaficha kitu.

Tunaweza kutrain wanyama wenye sifa mbali mbali ili watusaidie kuvumbua sehemu yenye madini, mafuta na hata gesi bila ya kuagiza teknolojia nje kwa bei ghali. Anyways, maybe I need to shut up before I give nyang'au a billion dollar idea 😉
You all ready did!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Urbanization%20_%20Dar%20Es%20Salaam%20%20.%20.%20.%20-%20daressalaam%20-%20daressalaam_tz_%20...jpg
 
Back
Top Bottom