Watu ndo wajue elimu ya Tanzania kiboko. Hawa panya wa SUA wamesidia sana kutegua mabomu Angola. SUA pia wanapanya wanaoweza kutambua samples za TB, accuracy yao ni kubwa na wanatambua haraka sana kuliko hata kutumia x ray ambayo usomaji wake una human error.
Mimi ni mwamini sana wa ku blend teknolojia ya viumbe hai na ya kisasa ili kutatua matatizo yetu (mf kutumia mbwa kupima kisukari). Tunaweza hata kuwa train bundi kuweza kunusa hormones zinazomtoka mtu aliye na wasi wasi (suspects), hasa kwenye maeneo sensitive kama airport. Bundi huwa wanauwezo wa kunusa harufu inayotokana na metabolic activities za mtu anayekaribia kufa, tena akiwa mbali sana. Hawa wanaweza kuwa trained kujua kama mtu yuko nervous au kama anaficha kitu.
Tunaweza kutrain wanyama wenye sifa mbali mbali ili watusaidie kuvumbua sehemu yenye madini, mafuta na hata gesi bila ya kuagiza teknolojia nje kwa bei ghali. Anyways, maybe I need to shut up before I give these nyang'aus billion dollar idea. 😉