Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Wangeji bwaga tu hata 30+ .....mana mradi huu utaingiz mzigo mzito snaa in future so they have a reputation to keephaya tender hio kazi kazi
Wangeji bwaga tu hata 30+ .....mana mradi huu utaingiz mzigo mzito snaa in future so they have a reputation to keephaya tender hio kazi kazi
Wapige tu 30+
Litajengwa pale Ubungo sio? Hiki ndicho nilichokuwa napigania BRT/DART wa-invest wenyewe kwenye that parcel of land! Mchina atafute sehemu yake!
Hii kitonga inatakiwa itafutiwe route mbadala, sehemu yoyote ikiporomoka hapo au kukiwa na land slide litazua majangaWawaombe yapiray mitambo yao ya mahandaki wahitumie kuchonga moja hapo kitonga. Huo mlima nao unachelewesha mizigo na abiria na pia lita punguza ajali sana tu.
inaeza kua hio bro 👏👏
Mmh hawa wenye viwanda vingi vya dawa na huwa wanasema wanatuuzia dawa huku bongo sasa inakuwaje tena? Au wako na viwanda vya ku-import dawa?
Soma
kaua nchi sikia hii kunguni 😂😂😂👇👇
Withdrawal chargesna "ya kutoa" wanamaanisha nn?