Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nadhani wenye dhamana ya kuendesha hilo shirika wameshapiga hesabu zao vizuri. Route ya nairobi ina pesa nzuri chief, unaweeza kuona vile ime-paralyze KQ halafu unasema haina faida? Mipango ilikuwa this June nairobi, then September London. Hiyo route ya China tayari ilishaanza kazi nadhani.

ya nairobi siijui na sijawah kusikia, ila ya china ilipata kibari february... ndo mana waliwah kwenda huko kuchukua abiria kuja bongo mwezi wa tano sijui wasita ule
 
ya nairobi siijui na sijawah kusikia, ila ya china ilipata kibari february... ndo mana waliwah kwenda huko kuchukua abiria kuja bongo mwezi wa tano sijui wasita ule

Ya nairobi kama sio Corona wangeanza kutua June, na hii September ndio ingeanza ya London. Flight za mbali zilizoko tayari ni hiyo ya China na India.
 
Malazy waliokuwa wanasema kuwa Konza city ni white elephant nina ujumbe kwenu. Polepole ndio mwendo,haraka haraka haina baraka. Chururu si ndondondo. Mwenye pupa hadiriki kula tamu. Tulieni muone Konza city ikikamilika. Tunaijenga polepole hatuna haraka. Progress iko sawa, hata mahater lazima wakubali.


View attachment 1571573
project ina miaka 12 leo unatuonesha nn bro ?????😀😀😀😀 cant u be serious plz
 
komora096 kumbe sio madaktari hawalipwi pesa zao pekee mpaka wafanyakazi wa counties wanalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]







hawa wajinga walijua mikopo ya IMF itawasaidia hata wakiwa lockdown (kusimamisha baadhi ya shughuli).. ona sasa wanaanza kuangaika (na madeni yamepanda maradufu zaid)
 
sibiti bridge singida🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2A6A910F-BCBB-42B2-81B9-A05ED6A63DC9.jpeg
31E1675D-4528-4E8A-AE00-4A8DF2EF2A44.jpeg
14894EB9-CD56-41FA-9020-5DBBBB999BF0.jpeg
 
ATCL haiwezi kwenda Nairobi bila kupokea ndege zake mpya ambazo ni Airbus 2 ambazo ni toleo la kisasa kabisa lenye screen katika kika seat, na kuanza kuanza kwa Safari za China, kabla ya kutimiza hayo, route ya Nairobi haitotengeneza faida.
Mkurugenzi wa Atcl bwana Matindi amesema Leo jmtano akihojiwa na Azam tv kwamba wanategemea safari za Nairobi kuanza December mwaka huu.
 
Back
Top Bottom