Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mko tayari🇹🇿👏👏
View attachment 1571802
aaawapi LAPSSET inaenda mwaka wa tisa kitu bado kinajengwa!

Mwaka wa tisa kitu hakina umeme wala barabara ya kuunganisha na Ethiopia na South Sudan!


This project was expected to be ready in 2016!


More of white elephant projects (Isiolo Resort City) from Kibaki era
 
Mkurugenzi wa Atcl bwana Matindi amesema Leo jmtano akihojiwa na Azam tv kwamba wanategemea safari za Nairobi kuanza December mwaka huu.
Nauli ya KQ ni 500K Tsh one way,
Hapa ATCL tunashuka kidogo tu kwenye 450 hivi, tunaweza fika hadi 350K tutakomba wote, maana ndege ni zetu na gharama zetu za uendeshaji ziko chini saana
 
This is what Uhuru is doing at Lamu port

Wadhungu husema "to place a cart before a donkey"!

cart-before-horse.jpg



Mkiambiwa mliweka rehani Mombasa port kujenga SGR mnakataa shenzy type saahii mnaunganisha operations za port na railway ready for a takeover by the "Chinese"!
 
Mara Kenya ooh,,Kenya this, Kenya that blah blah the usual song.U mean u can't have ua normal discussion without mentioning Kenya.What's this obsession with Kenya.U keep licking our asses coz we don't give a **** about u and ua stupid country anyways
we do that simply because your so arrogant and a nearby good example of fallen and stupid state
 
Back
Top Bottom