Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana nasupport miundombinu ya kujenga uchumi wetu, haya mambo sijui mpaka uganda sijui Burundi ajicommit ndio tujenge, yaani tunajengea majirani badala ya sisi.
Imagine reli ya kenya ingeenda mpaka uganda ikaingia Rwanda, ina maana sisi tusingejenga?
Raisi ajaye baada ya Magufuli hana excuse, sababu umeme utakuwepo umesambaa mpaka vijijini, hospitali na shule zitakuwepo labda za kuongezea chache,
Viwanja vya ndege vingi vitakuwa vimejengwa,

2025 na kuendelea reli zijengwe ikiwa ni pamoja na kupanua barabara, pamoja na miradi ya maji, na kusambaza gesi. Hivi ndio vitu ninavyoviona vitaendelea kuhitajika kwa sana.
Tukizubaa baada ya miaka 20 au 30 hata hii reli tunayojenga sasa inaweza zidiwa tukahitaji double track.
Kwangu mimi zijengwe tu, kurahisisha usafiri wa ndani.
Kweli kabisa, maswala ya miundombinu hayahitaji kutegemea soko lililopo bali yanatengeneza soko na miundo mbinu ya barabara na reli ipo so reliable kwa kuatract wawekezaji.
Hao wakenya wenyewe tunaowabeza laiti wangefanikiwa kufikisha sgr mpakani mwa uganda tu au kisumu mambo yangekua mengine + wangeelectrify
 
homa ya taifa 😂😂👇👇👇
71948039-15AD-406A-BE44-F4ADDBF0AAC7.jpeg
461FA778-6129-4DA5-9B09-13CE5E0396EB.jpeg
90729D12-DED8-436F-AABF-B527A602B1F3.jpeg
84B4A322-380C-47F4-A487-82EB4B428552.jpeg
 
magu angewakazia kama wiki mbili hvi [emoji28][emoji28] kafanya haraka sana

Hii ni kuthibitisha kwamba, ATCL haijakatazwa wala kusumbuliwa kuanza Safari za kwenda Nairobi kama ambavyo baadhi yetu tumekua tukifikiria. Haiwezikani hata kidogo ATCL ikataliwe kibali cha kutua Nairobi na bado serikali yetu uruhusu KQ kuja Tanzania
 
Hii ni kuthibitisha kwamba, ATCL haijakatazwa wala kusumbuliwa kuanza Safari za kwenda Nairobi kama ambavyo baadhi yetu tumekua tukifikiria. Haiwezikani hata kidogo ATCL ikataliwe kibali cha kutua Nairobi na bado serikali yetu uruhusu KQ kuja Tanzania
Geza ndio pekee hudai eti tumekatazwa, on a reciprocal basis kwenye aviation Hakuna hicho kitu.
 
Geza ndio pekee hudai eti tumekatazwa, on a reciprocal basis kwenye aviation Hakuna hicho kitu.
ATCL wapo makini sana katika kufungua njia mpya, Magufuli alishawaambia kwamba hataki kusikia kitu hasara kinatokea tena ATCL. Katika akili ya biashara, ni kosa kubwa kuanza na njia ambazo kuna competition kali, njia ya Nairobi, Ethiopia, Qatar, Instambul Uturuki, hizo njia sio za kuanza nazo kama ndege zako ni chache, lazima uwe na ndege za kutosha kuingia katika hizo njia.

ATCL itafanya kosa kubwa sana kuanza route ya Nairobi bila kujiimarisha kwa idadi ya ndege na logistics zingine, vinginevyo lazima watapata hasara kama inavyopata hasara Rwandair na KQ.
 
Utasikia wakijidanganya kwamba wanaongoza kwa internet users wengi 😂😂😂😂
Kenya iipite Tanzania kwa internet users wakati bundles are two times expensive than Tanzania 🤔


The reasoning of a low IQ mind.
Screenshot (163)_LI.jpg
Screenshot (165)_LI.jpg
 
Atatoa kisingizio kwamba yeye co jobless anadhani yeye pekee ndiye mwenye kazi duniani hapa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
tuonyeshe impact hata moja ya hao subscribers[emoji28][emoji28],maana hata total umber ya subscribers kwenye baadhi ya channels youtube tumewazidi.
YouTube subscriptions are for kids and dumb people like you. Go to twitter and you will get your answers there.
 
Back
Top Bottom