Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,766
South Sudan haiwezi kujiunga na LAPSSET if Total n CNOOC r still in EA! Mark my word! Na kumbuka CNOOC pia wako South Sudan na pia ni partner wa total in EACOP.wakenya wenye akili zao πππ
Hahahahaha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24]
ila nimecheka sana leo [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
ohk can confidently assure u FID will be made latest 1st half of 2021, if at all u know what Total and Uganda, and Uganda and Tanzania did as far as HGA is concerned!tungoje tuone ipi itajengwa kwanza....nyinyi na uganda mmeishi kusign na kuzindua ila hamna kitu kinasonga
Angalia wakenya mlivyo obsessed with Tanzanias stuffna wewe uko busy na kenyan media
Yaani wakenya wanavyovutiwa na Tanzania siku hizi, hadi raha, ile dharau yote kwisha kabisa.
Alisema Naton Jr wakambishia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Magu kiboko ya mishipa [emoji3][emoji3][emoji3]Yaani wakenya wanavyovutiwa na Tanzania siku hizi, hadi raha, ile dharau yote kwisha kabisa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app