Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Survey ya kupima viwanja nchi nzima ya Lukuvi imeishia wapi?
Haya yote yanapaswa kuwekwa katika huo uzi na mengine yatajaziwa humo humo, pia ingekuwa vizuri huo uzi ukianzishwa tujitahidi kushare ktk platforms zingine ili usambae haraka iwezekanavyo.
 
naunga mkono ....

inabidi aandae mtililiko mzuri wa maneno wenye
Mm naona mkuu uiandae ww zen cc tuta act km back up mm kuna nyuzi naiandaa kuhusu usafi wa jiji letu na kulinda ubora wa barabara zetu (dmdp) mkuu.
 
Mbezi mwisho hadi final touch ilikua inafikia ukingoni,ila ndio kulikua na bonge la foleni kila siku iliyokua inasababishwa na jinsi kona ya goba kulivyodesigniwa,juzi wamefumua upyaa pale kona ya goba,nasikia kuna kitu kipya cha maana kinapandwa pale
 
Sure pale palikuwa pamekaa vibaya. Wapandishe Flyover ya kishua
 
Ungemueleza mwenyekiti wako hayo manene ungekuwa umemsaidia sana,kwangu unapoteza mda,mkabila na mbaguzi si unamsikia kila siku sasa makelele na kujikesha kwangu nikusaidiaje? mimi naleta maneno ya mwenyekiti wenu yanayokinzana na ustaarabu wa kitanzania.Si huwa mnawaponda wakenya nyie kwamba wako kikabila na huyo mwenyekiti wenu je? Nitakuwa nawaletea updates za mwenyekiti wenu kadiri anavyobwabwaja
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ sindano hizo zimeanza kufanya kazi,mimi sili wala silishwi na jf ndugu ndio maana huwa natokea mara chache sana humu kuja kuwaweka sawa na kusawazisha upotoshaji wenu,hata nisipoingia humu kwa kunipiga ban hakuna hasara ntapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…