Tatizo lako Geza ulole wakati fulani unapenda kuzungumza vitu toka kichwani mwako bila ushahidi wala uhakika wowote ule, mkurugenzi mkuu wa ATCL alishatoa maelezo kuhusu route ya Nairobi, wewe haya unayosema yametoka wapi?
Hivi unajua sheria na taratibu zinazotumika wakati wa kuingia makubaliano ya kuruhusu ndege za nchi fulani kutumia anga na viwanja vya ndege vya nchi nyingine?, sheria inasema lazima kuwe na usawa, kama ndege za Kanya ziliruhusiwa kuja TZ, basi ni lazima ndege za Tanzania kuruhusiwa kwenda Kenya, lakini hiyo haina maana kwamba hakuna kuomba kibali, lazima nchi iombe kibali
Sent from my TECNO-L8 using
JamiiForums mobile app