Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa TCAA DG Hamza aliposema on basis of reciprocity they have also cancelled the flights from Kenya alimaanisha nini? Man this thing is more than one sees with naked eyes! U talk of BASA as pronciple argument but there r things like route lot allocation n landing permit need to be sorted out!

Hili jambo halina tofauti kabisa na lile lililosababisha mkuu wa mkoa wa Tanga kuzui malori ya Kenya kuingia Tanzania.

Kilichosababisha sisi kuzua ndege za Kanya ni kitendo cha Kenya kutoa orodha ya zile nchi 11 ambazo ndege zao ziliruhusiwa kutua Kenya bila kuijumuisha Tanzania, hiyo haina maana kwamba Kenya imezifutia/ zimezuia ndege za nchi zote duniani isipokua zile 11 tu.

Kumbuka kwamba kabla ya Kenya kutaja ile orodha ya Kwanza, wiki mbili nyuma waliomba kuanza safari kuja Tanzania na wakakubaliwa, kama kweli ATCL wamekatazwa kwenda Kenya zaidi ya miaka miwili sasa, kwanini walipoomba kuanza Safari za Tanzania kuanzia August waliruhusiwa?,.

Hivi kweli ATCL ikataliwe kibali cha kwenda Kenya kwa zaidi ya miaka miwili na bado Magufuli aendelee kuruhusu KQ kuja Tanzania muda wote huo? , Inaonekana humjui vizuri Magufuli wewe.

Ukitaka kujua kwamba hili linahusiana na hii orodha ya Kenya na sio kuhusu ATCL, ona jinsi Tanzania tunavyojibu mapigo, walupitoa orodha ya kwanza, tulizuia KQ pekee, walipotoa orodha ya pili tukazuia mashirika ya Kenya yaliyobaki.
 
Msikilize kwa makini Hamza Johari
 
wanaiongelea Tanzania afu wanapeana vitasa wenyewe kwa wenyewe kuhusu Tanzania
ukiangalia hata wanaobisha humo wanabishia mazoea, si kwamba wanaelewa wanachobisha.

mmoja kaandika kuongoza kiuchumi EA na wananchi wanakula jeuri ni ujuha. kama magu amefanikiwa kuboresha maisha ya watz, ndio kusema tayari anaongoza.
 
Hili jambo halina tofauti kabisa na lile lililosababisha mkuu wa mkoa wa Tanga kuzui malori ya Kenya kuingia Tanzania.

Kilichosababisha sisi kuzua ndege za Kanya ni kitendo cha Kenya kutoa orodha ya zile nchi 11 ambazo ndege zao ziliruhusiwa kutua Kenya bila kuijumuisha Tanzania, hiyo haina maana kwamba Kenya imezifutia/ zimezuia ndege za nchi zote duniani isipokua zile 11 tu.

Kumbuka kwamba kabla ya Kenya kutaja ile orodha ya Kwanza, wiki mbili nyuma waliomba kuanza safari kuja Tanzania na wakakubaliwa, kama kweli ATCL wamekatazwa kwenda Kenya zaidi ya miaka miwili sasa, kwanini walipoomba kuanza Safari za Tanzania kuanzia August waliruhusiwa?,.

Hivi kweli ATCL ikataliwe kibali cha kwenda Kenya kwa zaidi ya miaka miwili na bado Magufuli aendelee kuruhusu KQ kuja Tanzania muda wote huo? , Inaonekana humjui vizuri Magufuli wewe.

Ukitaka kujua kwamba hili linahusiana na hii orodha ya Kenya na sio kuhusu ATCL, ona jinsi Tanzania tunavyojibu mapigo, walupitoa orodha ya kwanza, tulizuia KQ pekee, walipotoa orodha ya pili tukazuia mashirika ya Kenya yaliyobaki.

Tatizo hutaki kuona zaidi ya BASA kuna several permits have to be issued for a flight to land at JKIA n KCAA imekuwa ikikataa kuzitoa kwa Air Tanzania ! Hapo Hamza anaongelea abiria wa Tanzania kuzuiwa.
 
Ukisoma ilani vizuri brt phase 5 ni mwaikibaki inayopanuliwa anytime soon 9.1km nazani watacha ikianza jengwa Ila phase 2,3,4 hizo kabla ya 2024 zinaweza kuwa Zina operate Maana tender ambayo bado hapo n phase 4 tu na mwakani kwenye 2021/22 kabla first quarter haijaisha watakuwa washatangaza nazani if all go well
Mwai Kibaki ikipigwa BRT itakua na mvuto wa kipekee na ntaacha gari nyumbani
 
Hili jambo halina tofauti kabisa na lile lililosababisha mkuu wa mkoa wa Tanga kuzui malori ya Kenya kuingia Tanzania.

Kilichosababisha sisi kuzua ndege za Kanya ni kitendo cha Kenya kutoa orodha ya zile nchi 11 ambazo ndege zao ziliruhusiwa kutua Kenya bila kuijumuisha Tanzania, hiyo haina maana kwamba Kenya imezifutia/ zimezuia ndege za nchi zote duniani isipokua zile 11 tu.

Kumbuka kwamba kabla ya Kenya kutaja ile orodha ya Kwanza, wiki mbili nyuma waliomba kuanza safari kuja Tanzania na wakakubaliwa, kama kweli ATCL wamekatazwa kwenda Kenya zaidi ya miaka miwili sasa, kwanini walipoomba kuanza Safari za Tanzania kuanzia August waliruhusiwa?,.

Hivi kweli ATCL ikataliwe kibali cha kwenda Kenya kwa zaidi ya miaka miwili na bado Magufuli aendelee kuruhusu KQ kuja Tanzania muda wote huo? , Inaonekana humjui vizuri Magufuli wewe.

Ukitaka kujua kwamba hili linahusiana na hii orodha ya Kenya na sio kuhusu ATCL, ona jinsi Tanzania tunavyojibu mapigo, walupitoa orodha ya kwanza, tulizuia KQ pekee, walipotoa orodha ya pili tukazuia mashirika ya Kenya yaliyobaki.

Mkuu huna haja ya kuendelea, kuna kitu kinaniambia Mtaalam wetu keshaelewa na mlipishana point ndogo sana
 
Tatizo hutaki kuona zaidi ya BASA kuna several permits have to be issued for a flight to land at JKIA n KCAA imekuwa ikikataa kuzitoa kwa Air Tanzania ! Hapo Hamza anaongelea abiria wa Tanzania kuzuiwa.
Tafuta mahojiano ya Waziri Kamwele alipokua akihojiwa, alisema wazi kwamba lengo la wakenya kutoiweka Tanzania katika hii orodha kipindi hiki cha utalii ni kwasababu ya biashara ya utalii inayoanza August

Jambo la kujiuliza ni kwanini kama Kenya inakataa kutoa vibali vya ATCL kwenda Kenya kwa zaidi ya miaka miwili sasa, iweje walipoomba kuanza tena Safari zao kuanzia August 1st, serikali iliwaruhusu?.

Kama walipozuia ngano na gesi kuingia kwao, tulijibu hapo hapo kwa kuzuia bidhaa zao, hatukusubiri hata Wiki moja, walivyozuia madereva wetu kwa sababu ya Corona tulijibu hapo hapo kwa kuzuia madereva wao, inawezekanaje wazuie ATCL kwa zaidi ya miaka miwili na bado Tanzania tukae kimya?, hiyo sio kweli.

Mkurugenzi wa ATCL alishatoa ratiba ya kufungua routes za ATCL, China ilipaswa tuanze kisha ifuate route ya Nairobi Kati ya August na December. Kibiashara huanzi na routes ambazo zina ushindani mkubwa sana kama Adis Ababa na Nairobi kwasababu tayari hizo routes kuna mashirika makubwa yametawala, lazima uvute kasi ya kutosha.
 
ohk
 
This is how to combat corruption with a 'stern face' kunyans.

FB_IMG_1599420060754.jpg
 
Back
Top Bottom