Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walianza na janja ya idadi kupungua na kuwa 114,baada ya kutisha kutoka kwa mabwana zao ikapanda mpaka 147,leo imekuwa 212, kesho itakuwa more than 250!

Walishachelewa wanataka kuiga mbinu za Magu but wana dole matakoni wamelikalia linaitwa loan for covid-19 wakitaka kuinuka tu wanaambiwa rudi hapo hapo kwenye hilo dole
 
Join 26 Aug 2020 huyu nahisi ni wa hapa hapa ila ametengeneza ID mpya, yn wamekuwa waoga kweli kweli ngj nimfatilie muandiko ntamjua tu au babayao255 lazima ataugundua huu mzoga
Screenshot_2020-09-03-16-13-39.jpeg
 
Mkuu MOTOCHINI anayeongea hv angekuwa na tm km mazembe au al ahly ningesema sawa lkn co Simba amtambie Yanga tutakuwa tunajiongopea tu ni km hatujui historia ya hz tm, simba awatambie tm zote za Afrika mashariki lkn co Yanga mkuu, na Yanga nao hivyo hivyo cz tunajuana kiundani mno tunajua mnacholingia nanyi mnajua tunachoringia so mmoja akiona mwenzie anamsumbua sn anajua switch ilipo anazima umeme tunarudi pale pale, btw kwa ss mko vzr kutuzd ila msijiaminishe kwmb ndo mmetuzd kiivyo kwa kuangalia statistics tu, hyo ndo tunachopambana na Wakenya humu waachane na ushuzi wa statistics twende on ground
 
Join 26 Aug 2020 huyu nahisi ni wa hapa hapa ila ametengeneza ID mpya, yn wamekuwa waoga kweli kweli ngj nimfatilie muandiko ntamjua tu au babayao255 lazima ataugundua huu mzoga View attachment 1557558
Yaani tangu ile ID ipigwe ban kucoment kwenye huu uzi amekuwa na tabia ya kufungua ID mpya kwa ajili ya kucoment kwenye huu uzi
 
Mkuu MOTOCHINI anayeongea hv angekuwa na tm km mazembe au al ahly ningesema sawa lkn co Simba amtambie Yanga tutakuwa tunajiongopea tu ni km hatujui historia ya hz tm, simba awatambie tm zote za Afrika mashariki lkn co Yanga mkuu, na Yanga nao hivyo hivyo cz tunajuana kiundani mno tunajua mnacholingia nanyi mnajua tunachoringia so mmoja akiona mwenzie anamsumbua sn anajua switch ilipo anazima umeme tunarudi pale pale, btw kwa ss mko vzr kutuzd ila msijiaminishe kwmb ndo mmetuzd kiivyo kwa kuangalia statistics tu, hyo ndo tunachopambana na Wakenya humu waachane na ushuzi wa statistics twende on ground
kwel mkuu kwenye ground ndiyo kwenye uhalisia
 
Usiamini ktk hilo ndugu, tm zetu hz cvyo km mnavyozifikiria, unasema ipo mbali sn kwa Yanga unamaanisha nini kwamba tayari ina stadium?.

Au imechukua kombe la Afrika? Au unamaanisha mbali kvp mana cjakuelewa kabisa mkuu na napata tabu kuelewa hii mentality mana mashabiki wengi wameikalili hii, wamechanganywa na treble ya ligi kuu wakasahau kwamba hata Yanga imefanya hivyo juzi tu hapa, hz tm zetu ndivyo zilivyo mwaka huu huyu baadaye huyu pia kutegemea na uongozi uliopo pale tff but usijiongopee kabisa kwamba simba imeizd Yanga yn usiote kabisa mkuu, haipo hyo na haitakuja kutokea hz tm zizidiane kiivyo.

Hii ilitokea hata kipindi kile Yanga ina treble tulikuwa tunasema hivyo hivyo kwamba Yanga imeiacha mbali sn Simba but ukweli haukuwa hivyo miaka michache iliyofuata ndio hv tunavyoona ss, so msijiongopee kabisa ndg na km huamini subiri mwaka huu muone, japo kuna hujuma zitakazoendelea kutokana na uongozi pale tff but mpira utaonekana uwanjani tuombe uhai.
Mkuu hizo rank ni kutokana na mafanikio katika mashindano ya klabu bingwa na kombe la shirikisho. Yanga hampo kwenye mashindano yoyote so uwezekano wa kuporomoka ni mkubwa, kupanda hamuwezi labda mbakie hapo hapo tu.
 
Just epic,westie,where big clubs in Nairobi are,,ukitaka raha Nairobi tembea westie
Eew-L6VXgAAtxxx.jpeg
 
Back
Top Bottom