babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,906
Wanapenda kujilinganisha na Tanzania 








Uhalisia
1. Simba SC-Tz
2. Young Africans-Tz
3. Gor Mahia-Ke
4. KCCA-UG
5. Rayon Sports-Rw
6. Azam FC- Tz
Mwakani panapo majaliwa itakuwa hv
1. Young Africans-Tz
2. Simba SC-Tz
3. Azam FC-Tz
4. Gor Mahia-Ke
5. KCCA-UG
6. Rayon Sports-Rw

Hampo mashindano ya kimataifa so huwezi kupindua mezaUhalisia
1. Simba SC-Tz
2. Young Africans-Tz
3. Gor Mahia-Ke
4. KCCA-UG
5. Rayon Sports-Rw
6. Azam FC- Tz
Mwakani panapo majaliwa itakuwa hv
1. Young Africans-Tz
2. Simba SC-Tz
3. Azam FC-Tz
4. Gor Mahia-Ke
5. KCCA-UG
6. Rayon Sports-Rw
We subiri tu mkuu tm imerudi vzr tuna kikosi bora kabisa kuwahi kutokea na cku ile ya utambulisho tulicheza kiprofeshino zaidi soka tulivu lenye malengo na co soka la papara km miaka iliyopita.mwaka huu yanga washindwe wao wenyewe tu, majamaa wanawekewa mazingira mazuri sana
Wanapenda kujilinganisha na Tanzania


Wahuni kweli kweli aisee, hawastahili kabisa kuwa japo karibu yetu mana hawapo systematic.hawa majamaa wahuni tu.. walivyo wenyewe wapo kiuhunihuni tu![]()
Hiyo ni kibera nugu usimiksiwe👆👆👆
hawa majamaa wahuni tu.. walivyo wenyewe wapo kiuhunihuni tu![]()
Nafikiri ni mda muafaka huu.Ni pale mtu analafudhi deep ya vernacular anapoamua kuwa arrogant na kutumia nchi jirani kujitetea! it gives the reflection of the whole GoK towards her nemesis i.e. Tanzania! kufungia airlines kumewachoma kunako now lets shut their banks!
Hapo kwenye Mwakani Umezingua Simba ipo Mbali sana Kwa YangaUhalisia
1. Simba SC-Tz
2. Young Africans-Tz
3. Gor Mahia-Ke
4. KCCA-UG
5. Rayon Sports-Rw
6. Azam FC- Tz
Mwakani panapo majaliwa itakuwa hv
1. Young Africans-Tz
2. Simba SC-Tz
3. Azam FC-Tz
4. Gor Mahia-Ke
5. KCCA-UG
6. Rayon Sports-Rw
Usiamini ktk hilo ndugu, tm zetu hz cvyo km mnavyozifikiria, unasema ipo mbali sn kwa Yanga unamaanisha nini kwamba tayari ina stadium?.Hapo kwenye Mwakani Umezingua Simba ipo Mbali sana Kwa Yanga
Ethiopian Airlines wameongeza Ndege nyingi tu TZ baada ya Kunyaland Kujiny.......Ethiopian wamepost hii dakika chache zilizopita wakaifuta but nadhani kuna kitu wanarekebisha,
"Ethiopian is set to start its freighter service to Mwanza (Tanzania) as of September 9 2020"


